Yericko Nyerere ni nani?

Umejisifia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ndogo watamjadili...Msijadili watu jadilini ideas.
We hukokwenu bidhaa gani ni adimu tufanye business?
 
Ni bwana mdogo hivi machachari sana kwenye siasa na utalaam wa masuala mengi sanaa.

Na dogo huyu haeleweki eleweki hivi .

Dogo huyu naweza mfananisha na dogo patrobas katambi.

Nazani umepata kumjua kwa uchache huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga wewe subiri mwenyewe aje aseme yeye nani..sio mikasuku nyie. Utasikia ooh mbunge mmoja cdm sawa wabunge wote wa ccm..ooh lissu ana akili dunia nzima hata trump anampenda. Wakati mbunge cdm anapoteza jimbo eti alikua analea mimba ya mkewe.
Mimi nimesoma na mama yako unaweza je kumtusi baba yako yani mtu aliyetoka na bi mkubwa ako ni baba yako Mimi nilianza kabla ya mshua ako
 
Duh
 
Ni mwandishi wa vitabu na ni Mrusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…