Yericko Nyerere ni nani?

Ni kweli na sisi tulikua na mtindo wa tofauti ,tunaweka "CHI" kila baada ya herufi mbili zinazounda neno mfano neno wewe ,wechiwechi basi tukiwa tunaongea mtaani wazazi wanashangaa hawa watoto ni matahahira nini ,utoto raha sana
Ha ha ha! Ilisaidia kupiga stori bila wasiohusika kuelewa.
 
Ni bwamdogo mmoja anayejifanya kachero na jasusi wa kimataifa...kwa kuongezea tu, juzi juzi hapo alikuwa ana post ulabu wa ajabu, kwa kutumia Cyber Crime Law, wakuu wakaamua kumuadabisha...Sasahivi adabu mbele
 
Ni kakijana flani kanavijisifa flani ya ulopokaji bila kuangalia shamans wake
 
Kamanda wa ukawa
Team mabadiliko Lowassa
 
Hii Nchi ya ajabu sana aliyebeba bango la kibaguzi siku ya Mapinduzi anaonekana shujaa na hakuna mamlaka zilizomchukulia hatua lakini kwa ujumbe ule ni uchochezi tosha.
 
Bado hajajibiwa vizuri. Cdhani kama hata yeye muuliza swali amekata kiu. Kama ha2mfahamu vzuri basi 2kae kimya!
 
Kitapeli kimoja pia muongo muongo ila ndiyo think tank wa Chadema.
 
Siku hizi kuna Mmawia, huwa anatema pumba tu kwenye nyuzi muhimu, unapaswa kumjua nae.
 
Hii Nchi ya ajabu sana aliyebeba bango la kibaguzi siku ya Mapinduzi anaonekana shujaa na hakuna mamlaka zilizomchukulia hatua lakini kwa ujumbe ule ni uchochezi tosha.
Ujumbe kama ule ulianza kutolewa na Nyumbu wa Cdm hapo kabla
 
ni jasusi na nimtaamlamu wa maswala ya kompyuta!! alianza kuongea lugha za kigeni kama Russian language angali akiwa na umri wa miaka 10 tu ...

alianza kutumia internet miaka ya 80 akiwa russia ..

pia alisema amesomea maswala ya siasa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…