madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 326
- 391
Si alipotea wakat WA uchaguzi nikaona na nyuz zake huku??? Ssim uoy!!Ni mfanyabiashara maarufu ambaye ana kesi zinazohusiana na matumizi mabaya ya mitandao.
Nimeiona link asee ayah anab poinSsim uoy oot!
Alikuwa na kesi Kisutu ya matumizi mabaya ya mtandao, gazeti lililoripoti lilisema ni mfanyabiashara, kuna link nimeweka hapo chini:-
Yericko Nyerere kizimbani
Nimeiona link asee ayah anab poin
Sifa hizi sijawahi kuziona kwa YerikoNi Nyumbu mmoja anae ishi kwa kutumika kisiasa
Niki geugeu mmoja hodari sana
usije amini kila anacho kisema
kwani kesho hugeukia upande uleule alio usema kama shetani jana
Kwakuwa umemjua jana asubuhiSifa hizi sijawahi kuziona kwa Yeriko
Imenichukua dakika nzima kuelewa ulicho andika ,wasa nabaNimeiona link asee ayah anab poin
Ulikuwa mtindo wetu maarufu kuwasiliana enzi za primary & secondary school.Imenichukua dakika nzima kuelewa ulicho andika ,wasa naba
Ni kweli na sisi tulikua na mtindo wa tofauti ,tunaweka "CHI" kila baada ya herufi mbili zinazounda neno mfano neno wewe ,wechiwechi basi tukiwa tunaongea mtaani wazazi wanashangaa hawa watoto ni matahahira nini ,utoto raha sanaUlikuwa mtindo wetu maarufu kuwasiliana enzi za primary & secondary school.
Mkuu nadhani hapo ulikuwa unataka kumaanisha 'kazini' kwake, sio 'ofisini' kwakenenda shambani kwake kigamboni au ofisini kwake .
swissme