Yericko Nyerere na Chahali kushtumiana usalama

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
668
Reaction score
691
Ila hawa matapeli wawili wanafurahisha. Bandugu hakuna usalama anaejianika kwamba ni usalama chahali ni tapeli…

Ukiona mtu anajianika kwamba ni usalama elewa kwamba huyo ni kishoka tu, mana ukijianika tu ndo mwisho wako, watu wa usalama wanapigwa vita sababu watu hawajui wanaripoti kwa nani, kila idara serikalini ina kitengo cha usalama, kwa Tanzania (na nchi nyingi nyingine),

Kila idara, wizara, au taasisi ya serikali huwa na kitengo cha usalama, hao ndo huwa wanachoma upigaji. Sasa ujianike unadhani utakuwa salama? akishajulikana, bro Wataruka na wewe, nimekataa kuamini chahali ni usalama na hata Yericko kujaribu kutuhakikishia kwamba chahali ni usalama ni dhahiri hawa wote ni matapeli.

IMG_0647.jpeg
IMG_0648.jpeg
 
Mashahidi wa Siri ni lazima inawezekana wanatoka CHAUMA 😀😀😆😄
 
Ila hawa matapeli wawili wanafurahisha. Bandugu hakuna usalama anaejianika kwamba ni usalama chahali ni tapeli…

Ukiona mtu anajianika kwamba ni usalama elewa kwamba huyo ni kishoka tu, mana ukijianika tu ndo mwisho wako, watu wa usalama wanapigwa vita sababu watu hawajui wanaripoti kwa nani, kila idara serikalini ina kitengo cha usalama, kwa Tanzania (na nchi nyingi nyingine),

Kila idara, wizara, au taasisi ya serikali huwa na kitengo cha usalama, hao ndo huwa wanachoma upigaji. Sasa ujianike unadhani utakuwa salama? akishajulikana, bro Wataruka na wewe, nimekataa kuamini chahali ni usalama na hata Yericko kujaribu kutuhakikishia kwamba chahali ni usalama ni dhahiri hawa wote ni matapeli.

View attachment 3441467View attachment 3441468
Chahali kashawahi kuwa usalama wa taifa na siku zote hujinadi kama ex spy, japo anaonekana kuwa obsessed sana na mambo ya ushushushu mpaka umekuwa kama uchizi. Yeriko huyu ni ''janja janja'' tu hana abc za usalama na elimu yake ni ndogo.
 
Anaekudanganya tisi officer hajulikani nani? Huku kitaa wapo wengi tunaishi nao , tunakunywa nao kahawa na kuwajengea nyumba na kuwazuia viwanja!
 
Chahali kwa hakika alikuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa miaka hiyo kabla hajaenda uhamishoni.
Hiyo siyo Siri, labda kwako tu.
Umeshawahi ona kitambulisho chake?
 
Anaekudanganya tisi officer hajulikani nani? Huku kitaa wapo wengi tunaishi nao , tunakunywa nao kahawa na kuwajengea nyumba na kuwazuia viwanja!
Bro niamimi hao ni informers tu. Afisa wa usalama huwezi mjua na hawasemi maana wamekula kiapo
 
Chahali kashawahi kuwa usalama wa taifa na siku zote hujinadi kama ex spy, japo anaonekana kuwa obsessed sana na mambo ya ushushushu mpaka umekuwa kama uchizi. Yeriko huyu ni ''janja janja'' tu hana abc za usalama na elimu yake ni ndogo.
Bro umewahi ona kitambulisho chake? Kama ni kweli ni ex spy umo kwenye kitabu chake angeweka id zake …Uongo mwingine ni huo kwamba kuna ex-spy. Haipo hio. Ukiingia tassisi yeyote ya kiusalama duniani kutoka ni kifo tu, yani utembee na siri za serikali uraini. Hamna kitu kama ex - spy.
 
Inawezekana kaanza kumjua Chahali kupitia mitandao ya kijamii
Nimemfuatilia muda sana aise. Yani ata usalama anaandila kitabu, unajia wanakula kiapo cha maisha kutohadithia masuala yeyote ya kiusalama? Na wakitaka kuandika chochote au kutoa taarifa kuhusu kazi zao lazima tiss ndo wavipitishe. Sasa huyu kafungua adi blog, ukweli ni kwamba ni tapeli tu. Vitabu waache kuandika wakina Mzena, kitine, mahiga, wala apson aandike yeye? Nashangaa sana Yericko kumtaja apson. Ebu fuatilia kama kuna mwana usalama yeyote kaandika kitabu, kitabu cha kabendera tu ambacho kina details nyingi mno za kiusalama na ni mwandishi tu wa habari kimepigwa marufuku Tanzania na hukipati hadi vpn chahali kitabu chake nje nje ata serikali haishtuki, huyo ni tapeli!!!
 
Karibu ulimwenguni
 
Umeshawahi ona kitambulisho chake?
Wasi wasi ni akili
Wasikupeleke peleke..maana hakuna mwenye uthibitisho..
Huku huwa tunaona tu chahali kaandika simulizi za ujasusi, mara yeriko naye ana magazeti yake hayo ya ujasusi...

INAWEZEKANA HAWA WAMEGONGANA KWENYE BIASHARA ZAO

mwenye uhakika aweke kitambulisho cha mmojawapo
 
Back
Top Bottom