GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"

Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere akizungumza hivi karibuni katika Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam kabla ya kutangaza rasmi kuhamia CHAUMMA.

TAKATAKA
 
View attachment 3436644
Huyu pumbavu aende zake huko akitaka kujua nguvu ya Lisu nguvu ya chadema ya sasa Waweke Ulingo sawa wa Siasa, ibilisi wa ccm waache kuwaonea kuwanyanyasa kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo kuwapora luzuku na mambo yote ya kishetani
 
Alitaka mfumo wa zidumu fikra za mwenyekiti utamalaki milele hapo Chadema!!! Idiot.
Mbowe alikuwa mwizi sana pesa zote za chadema alikomba kwenye Account, alipiga udalali wa siasa kwa siri baadae akaja kubainika alipotoka jela akalamba Asali tokea hapo amekuwa Dalali Sugu wa kuidhoofisha chadema kuwauza G55 kwa chauma ubwabwa chama cha majungu na wasaliti watupu
 
"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"

Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere akizungumza hivi karibuni katika Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam kabla ya kutangaza rasmi kuhamia CHAUMMA.

View attachment 3436644
Huyu naye upumbavu apeleke kwa familia yake, yupo chauma ya chadema yanamhusu nini,
 
Mara nyingi sana naamini,hapa Tz hakuna mwanasiasa wa Tz ambaye yupo kwaajili ya kupigania maslahi ya wananchi, asilimia 99.5 wanapambania maslahi binafsi
Lisu na Heche hawana masilahi binafsi ndiyo maana miaka yote wameshindikana kuunga mkono hoja za ibilisi wa ccm mpaka sasa wameamua kuwapora luzuku ,kuzuia mikutano yao kuwabambikia kesi za uongo kuwateka kuwaua kuwafanyia vitendo haramu vya kishetani
 
Back
Top Bottom