Yericko Nyerere kizimbani

Hio ni kazi ya Mahakama.

Chunga tu na wewe usijedakwa na Dola kwa kuiona Serikali haina busara.

ninacho shukuru wamerekani mcc,wamesema hawatotoa 1 trillion tshillings mpaka pale ambapo:
a)serikali itatolea maelezo sheria ya makosa ya mtandao na watuhumiwa walio na kesi znazohusu makosa yalyo undwa na sheria husika
b)serikali itamalza mkwamo wa kisiasa uko zenji!
halafu kesi nyepesi hii!sasa mchague moja,shingo ya yeriko(ambayo hamtoipata) au trillion moja!
 
Hapo hamna kesi labda ungesema ya uchochezi nayo pia haina nguvu Cdm ni kisiwa cha wanasheria.
Lissu
Kibatala
Nyaronyo
Mdee

N.K
 
Hii kesi ngumu sana inabidi wafuasi wa Chadema wamchangie pesa apate wakili mzuri zaidi ya hapo anaenda jela.

Acha unafiki ritz katika kesi nyepesi ni hii duniani
 
Sio Jela za bongo kijana.
Kamuulize Yericko ndio atakupa habari kamili.
Uraiani mambo ya Wanname kuoana Ni ya Hiari.
Huko Hiari hakuna.

Ukipendwa tu we kaanze kupaka Wanja kabisa.

naona unamshupalia yericko!ila nikuvunje zaidi moyo,ebu tafuta mwanasheria akufafanuliwe vifungu vyote vya sheria ya makosa ya mtandaoni na regulations zake,halafu pia akufafanulie na defences zake!kisha uje hapa!narudia tena kesi hii nyepesi iko personal!hapo sana2 naona mnazd kumpaisha yeriko...ahahaha
 
Hii kesi ngumu sana inabidi wafuasi wa Chadema wamchangie pesa apate wakili mzuri zaidi ya hapo anaenda jela.

Mh! Chadema sidhani kama watampa hata senti, wao wanachojua ni kugombea maiti tu.
 

uko ryt,kesi nyngi za jamhuri znaundwa ili kuwakomoa watu wote wanaoipga serikali ya sasa au ilyopta!na kwa sabab kesi znaktwa zna bubwa kimuhemuko mara nyngi huwa znakosa hoja nzto na maandalzi mazuri,mwsho wa siku jamhuri hushndwa!kesi hii yerko atashnda athubui,acha jamhuri iendelee kutafuta vthbtisho,ahahaha
 
Hapo hamna kesi labda ungesema ya uchochezi nayo pia haina nguvu Cdm ni kisiwa cha wanasheria.
Lissu
Kibatala
Nyaronyo
Mdee

N.K

Na wewe kwa hesabu zako unadhani hao watahangaika na huyu mtoto?
 

Kesi Nyepesi angewekewa Dhamana ya Milion 5 na mdhamini mwenye mali isio hamishika?

Nyie kaeni tayari kusikia Anakula miaka si chini ya 6 jela.
 
Kwani na yeye alikuwa na makontena bandari kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…