Yericko Nyerere ajitenga na CHADEMA

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Kama mtakumbuka kwa takribani muongo mmoja kijana Yericko Nyerere alishinda mitandaoni amekuwa mitandaoni kuzalisha propaganda ili tu CHADEMA ipae.

Ilifikia wakati akahatarisha maisha yake kwa kuzusha uongo dhidi ya Mkuu wa majeshi huku akikabiliwa na kesi kadhaa za uchochezi.

Alipewa majina mengi Ila wafuasi wake walimpachika jina la "mwenyekiti wa CHADEMA mitandaoni".

Kuna habari toka ndani ya Chama kuwa kutokana na mwenendo wa chama hususani katika kusaidia wafia chama ameamua kubaki mbutu apambane na hali yake.

Niseme tu kuwa namtakia maisha mema katika harakati zake mpya huko Mbutu, Kigamboni.
 
Vipi kueneza sera za chadema kwa wananchi nayo dhambi? Kakatazwa kufanya hili pia kuitangaza chadema kupitia mitandao?
Muulize yeye sababu zake za kutofanya hivyo!Mimi nilichohoji ni kwenye line ya mleta mada ambayo anadai huyu mtu alihatarisha maisha yake!Hivi kumbe kumsema JPM ni kuhatarisha maisha yako?Mnamjua muuaji ila huwa mnavunga tu!
 
Haya tupo njiani tunakuja dodoma hizo posho ziwe tayari siyo baada ya mkutano tuanze kuzungushana
IMG_20200829_131953.jpg
 
Muulize yeye sababu zake za kutofanya hivyo!Mimi nilichohoji ni kwenye line ya mleta mada ambayo anadai huyu mtu alihatarisha maisha yake!Hivi kumbe kumsema JPM ni kuhatarisha maisha yako?Mnamjua muuaji ila huwa mnavunga tu!
Makada wa chama kile wana tatizo la kutoshirikisha ubongo na viungo vingine kabla hawajaropokwa!!!
Amemaanisha kumsema JPM ni hatari kwa maisha hivyo tusimseme kwa maana hatujui saa wala siku!!!
VYAMA VINGINE VIFUTWE TU WABAKI WENYEWE
 
Kiukweli kasi ya JPM kuleta maendeleo ya kweli ya kuonekanika, inawafanya wakweli wote kumkubali, wengine kiwaziwazi hadi kujitoa Chadema na kuunga mkono juhudi kwa kujiunga CCM, wengine wenye aibu, wamemuunga mkono JPM kimoyomoyo, wanasubiria tuu ile tarehe 28 October, kwenda kufanya mambo!.
P
 
pia na wale waliopata kura moja tu kutoka Kamati za roho za wajumbe, nao wana visasi vyao, nje wanaendelea na mapambio lakini moyoni wapo na TAL!
 
Jiwe ameharibu ustaarabu wa nchii hii anapaswa kujiuzulu mara moja.
Katika comment zako naona wewe ni mfia dini, sasa kwanini msiende milimani mkakeshe mumuombee asiharibu nchi na miaka ndio hiyo inayoyoma na maisha ya watanzania bado yale yale
 
Kiukweli kasi ya JPM kuleta maendeleo ya kweli ya kuonekanika, inawafanya wakweli wote kumkubali, wengine kiwaziwazi hadi kujitoa Chadema na kuunga mkono juhudi kwa kujiunga CCM, wengine wenye aibu, wamemuunga mkono JPM kimoyomoyo, wanasubiria tuu ile tarehe 28 October, kwenda kufanya mambo!.
P
T

Vipi wanaompamba jiwe mchana usiku wako nasi wakisubiria Oct 28 wamtie adabu vilivyo?

Wewe hao hawaoni?

Hizi teuzi hizi ...

Hiiiii bagosha!
 
Yeriko yupo kitengo cha ufundi asili cha CHADEMA. Nyie mnamtumia Sheikh Majini wao wanamtumia Yeriko.

Mwaka huu mtapigwa kwa mbinu zote.
 
Back
Top Bottom