Yawahusu wanawake wa jf tu

Itawezekana tu hata tukiwa mtu 4. Tusikubali mapungufu yetu yawe chanzo cha kutugawa bandugu. Ngoja tusubiri ruhusa ya wenye ukumbi ndo tutandike jamvi letu manake waweza nunua jamvi ukakosa pa kulitandika....
 
Hahahaha eti myatue!
Poleni sana bila shaka inabidi mvumiliane.
Sio wote huwa wanafanya hivyo, hivi unawajua wanawake au unawasikia?????????tuna mengi migongoni mtuache tu, hata ukikohoa tabu, ukijikuna itakuwa tabu pia. La muhimu tuyatue ndio twende kwa umoja huu la sivyo yatatushinda
 
lady furahia.. Samahani mami.. Kwa ulivyofikiri hilo group unategemea liwe ni la online au .. Litahusisha kuonana face to face!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
lady furahia.. Samahani mami.. Kwa ulivyofikiri hilo group unategemea liwe ni la online au .. Litahusisha kuonana face to face!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hujambo? sijakusalimia siku nyingi mwanamke mwenzangu.......
 
Heee kuna watu wako hivyo duuuh. Anyway binadamu wana mengi na tabia haina dawa. Nadhani swala la kukutana ni gumu kidogo lkn kuwa na jukwaa la wamama/wadada nadhani ingependezaa
 
Sitaki kumjua mtu jf na tusiijuane!kwa muda ambao mpaka sasa simjui mtu sijapungukiwa na kumjua mtu sitaongezeka chochote.
 
....nyie wanawake si ndo hampendani nyie.....??
.. Passion Lady waonaje.?

Samahani ku intrude..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…