Yawahusu wanawake wa jf tu

ni wazo zuri sana
na pindi tukikubaliana ndio
tutapanga mipango sawia!
mi binafsi napenda kujimix kimtindo!
naunga mkono hoja hureeeee!

 
Naona ni wazo zuri. Mimi naunga mkono sana kama jukwaa la wanawake litakuwepo manake kuna mengi ya kushirikishana. Kuhusiana , suala la kukutana sidhani kama itakua rahisi kwa sababu hatuishi mkoa mmoja na pengine wengine wanaishi nje ya nchi. Jukwaa hilo la wanawake likianzishwa litatupa fursa ya kujadiliana kwa kina mambo yanayowahusu akina mama/wadada na pengine laweza kuleta msaada mkubwa kwa akina mama/wadada.
 
mimi mwenyewe simo kabisa.watu wana tabia tofauti,ugomvi sijauzoea.kuna mdada mmoja humu,alichukua kitu cha mtu na hakulipa{ni mtu maarufu tu}na huwezi kumdhania kutokana na michango yake.sasa jee mambo ya kukutana mwanzo yataenda vizuri,baadae yatakuwa ndio hayo hayo.wanawake tunajuana.wapo watu wenye mioyo mizuri,na wapo watu waharibifu.na usidhani kila anae comment vizuri au comment zilizoenda shule ukadhani in real life mtu yupo hivyo.sio wote wako hivyo.{mfano huyo dada tu sikutegemea}ila nina amini watu wapo ambao wenye mawazo mazuri kwenye comment na in real life wako hivyo.nampa big up Ashadii
 
ladyfurahia nimenuna hujanitaja. kwangu mimi naona ni jambo zuri na linawezekana. Kwa yeyote anayejiona ni mwanamke regardless avatar na majina yetu anaweza kuomba kujiunga na kundi hilo. I we kama ilivyo dini na mambo ya kikubwa. Binafsi, nitakuwa tayari kukuunga mkono
 
Last edited by a moderator:
Samahani sana kwani nilisahau jina lako best usijali unakaribishwa kutoa maoni, ushauri, mchango wako na jambo lolote khusu hili kwani nimeshaonana na founder ambaye bado hajajibu iila natarajia jibu tokakwake ili tuanzishe jukwaa hili initashukuru sana kwa ushirikiano wako pindi likianza asante sana best usijali lakini kutotaja jina lako nawe ni miongoni mwa wale tunaowatarajia kuwepo hapa
 
Huyo mdada ni noumer hadi online ameacha alama ya kutokuwa mwaminifu sijui mtaani amechafuaje?.......Kuna ukweli kwenye hoja yako lakini hii haiwezi kuwa sababu ya kutoungana, tunaweza epuka kufanya vitu vinavyotia watu vishawishi mfano kama hela vile, mnaweza fanya matendo yanayohusisha vitu na si pesa. Ninaamini pia kuna wadada ambao wako na maono na tabia nzuri hapa JF na ni wengi tu kisukari. Hata kama watakuwa 10 tu wanatosha kufanya impact.
 
Last edited by a moderator:

Ila hilo kundi lisijihusishe moja kwa moja na mambo ya hela. Hata kama italazimu kila mtu atumie hela yake kununua kitu tangible ili kuepuka kutoweka kwa imani ndani yetu teh teh si unajua tena mambo ya Yuda?
 
Tunaishia humu humu jamvini, hatutatoka nje ya hapa JF bwana. Kuna kundi flani mahali watu walianza kuparanganyika baada ya kufahamiana kisa kila mtu alijua style ya maisha ya mwenzie. Wakaanza kupost picha facebook kuonesha their real life, wacha watu waanze kusemana inbox......ndo ukawa mwisho wa kufahamiana zaidi. Kama tunalifanya ni vizuri liishie hivi hivi kama ikiwa zaidi ya hapa JF basi iwe kwa watu binafsi na si sheria.
 

asante hata mimi ni mwanamke tupo pamoja
 
ni kweli kabisa hakutakuwa na sheria bali ni hiyari ya mtu akipenda atajiunga au la abakie humuhumu jf pindi litakapoanza tuko kwenye mchakato sasa
 
Ki JF zaidi ndio poa

Uhuru kwa kasi zaidi

 
asante hata mimi ni mwanamke tupo pamoja

Nina imani mwanamke hadi umefika hapa JF unaweza kujicontol na kuepuka tabia za ajabu za kike. Ukweli kwenye real life huwa sina rafiki mdada na sina kundi. Mie ni neutral kwani huwa sifurahii tabia nyingi za kike hasa muwapo kwenye kundi mnalojuana in and out. Hii haimaanishi kwamba hakuna umuhimu wa kujumuika na watu wa jinsia yangu. Still katika maisha haya ya kutofahamiana ningelipenda sana nipate mahali hata pa kutua baadhi ya mambo ambayo ningependa kushare na watu wa jinsia yangu ili nipate msaada zaidi. Nina imani kwa JF ambapo hatufahamiani sitegemei tatizo langu kulikuta mtaani likijadiliwa.

Bado nitawahitaji watu kama akina Nyamayao na wengineo ili kuleta chachu katika hili. Tutashauri ibakie humu humu JF ili kuepuka msongamano mtaani.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli kabisa hakutakuwa na sheria bali ni hiyari ya mtu akipenda atajiunga au la abakie humuhumu jf pindi litakapoanza tuko kwenye mchakato sasa
 
tuko kwenye mchakato zaidi na tunalifanyia kazi suala hili ndo mana tumelileta kwenu mtupe maoni, ushauri na vitu vifaavyo kuweka humo usijali mambo yakiwa mazuri utaona tu asante na siku njema
 
asante kwa kukubaliana nami niko kwenyemchakato zaidi na kupata ufumbuzi zaidi namna ya kufanya nimeshawaambia mafounder walifanyie kazi usijali mambo yakiwa flesh utaliona jukwaa likigida hapa nawe utakaribishwa best
ni wazo zuri sana
na pindi tukikubaliana ndio
tutapanga mipango sawia!
mi binafsi napenda kujimix kimtindo!
naunga mkono hoja hureeeee!
 
mhm...hapa wanaume tuna kazi...wanawake wanataka kujipanga wajikomboe toka huu mfumo dume....ngoja tuwagegede mara ya mwisho maana karibuni tutambia kugegeda hakuna

Du! kweli kugegeda kumekaa damuni mwako! Swalama lakini?
 

jakumbuka mfumo dume ukazaaa mfumo ukatoliki!
 
Usitegemee kuungwa mkono kirahisi na watu wote ktk wazo lako labda kama hakuna wenye kufikiria miongoni mwao. lakini usirudi nyuma kwa kuwa umeungwa mkono na wachache kwani siku zote mambo mazuri huanzishwa na watu wachache.
 

Mrembo, kama ni hivyo mbona tunafanya sana sana tu,kuna baadhi ya members humu tunashauriana sana PM, mie simfahamu kwa sura MJ1 lakini ni mmoja wa rafiki zangu wakubwa sana sana humu ndani,ninauwezo wa kumwambia lolote lile na tukashauriana, BHT ( missing u darling),kulikuwa na mdogo wangu Pearl, ZD, Firstlady1,Kongosho, Kaunga, etc. hiyo ya face to face ndio tulikuwa tunaiongelea humu, then msidhani tunaongea kama tumefungwa mota, hahaha, ya ladyfurahia hiyo, hahaha walishafanyaga humu kwahiyo tunajua madhara yake, sijui mnakutana wapi na wapi wengine walikuwa kimya lakini waliepuka vijimambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…