Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,785
- 58,375
Hapana mkuu..Uchawi huo kuita mizimu bure
Yavuz yakuzHaah
Mkuu ni YAKUZI na YAVUZ basi...'Yakuza mavuzi'! ndiyo lugha gani tena hii tena?
Unataka watu wayatamke kama kasuku bila kuelewa yana maana gani na kwa uhitaji gani!
Hee [emoji3]Mapenzi yamekua changamoto sana kipindi hiki...
Ila haya ni maneno mawili ambayo yatafanya upate mpenzi ambaye atakutii na wewe utamtii yaani kiufupi mtatiana...
Maneno haya ni mawili tuu YAKUZ NA YAVUZI..
Kaa ndani peke yako hakikisha kama wa kike ujafanya mapenzi week moja kabla na kama wakiume hv hv wala ujapiga nyeto.
Maneno haya unayasema mara mia tatu ...150 YAKUZ, 150 YAVUZ.....
BAADA YA HAPO NASUBIRI MAJIBU HAPA.. KARIBUNI JA NAKARIBISHA MASWALI
Mafanikio yamefichwa hapaHee [emoji3]
Mkuu mi sio mganga banaWaganga kila siku wanaongezeka!!!
Hapana mkuu wanguUnapata mpenzi ama jini
Yaaani maisha yatupige unazani uchizi wetu tunamalizia wapiKichwa Cha habar tu Nimecheka kabla sijaona ujumbe ππ
MtabiriMkuu mi sio mganga bana
Wewe kama mimiKichwa Cha habar tu Nimecheka kabla sijaona ujumbe ππ