Yatosha sasa

Dogo, hayo ni maneno ya mdomoni tu, wote tulitamani ingekuwa hivyo lakini......., we baada ya miezi sita rudi hapa useme tena kama utakuwa na ujasiri huo. Vilevile angalia usjie uziwa mbuzi kwenye gunia
 
kuuziwa kwenye gunia haitotokea, nishajibu swali kama lako hapo juu.
 
dah, safi sana kamanda! ukisimamia uamuzi wako hadi mwisho lazima uwe salama..
safi sana
na hongera kwa maamuzi magumu na mazuri.

ila sijajua baada ya lile libaridi la juu itakuwaje!!
 
baridi itakwisha tu kwa matumizi ya vitu vingine, I promise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…