Yasikiage tu usiombe yakukute

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
46,676
71,034
Ni mara nyingi huwa tunasikia vyombo vya majini vimezama,ila uzembe na tamaa ndio bucbukua sehemu ku kubwa TAHADHARI KATIKA HIZI VIDEO WATU WAMEPOTEZA MAISHA NA MALI.

Watu wanapoteza maisha kwa uzembe wa afsaa mmoja very sad.
 
Kuna vifo vingine unakuwa umepigiwa simu na umekubali mwenyewe, mfano huyo bwege alieshikilia pick up mpaka inazama kashikilia tu, anayaona mamtumbwi yapo karibu just kufanya jitihada kidogo tu upate usaidize anabakia kama sanamu mlangoni, pumbavu kbs.
 
Labda ndio katoka kuinunua life savings zote zimeishia kwenye hiyo gari,kwa hiyo ameona bora awe mlo wa mamba kufa kufaana.
 
Back
Top Bottom