Yasemwayo na mke wa mtu wakati wa Zinaa

tena muwe mnawasikiliza hata lafudhi zao ...ili mtwambie....kama wazoefu.... zaidi ni wa pande gani?
 
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!
MMMMMMMMmmmmmmmmh
Kama hujazoea si uache????
gosh!
umesahau " unajua mume wangu ananiamini sana........."
Jeez
'nakupa lakini usirudie tena kuniambia haya mambo'.Hii ulisahau te te teh
Geez
Ina maana umenidanganya mpaka leo namsaliti mume wangu,kumbe ndio mchezo wake na ameshazoea.
nashindwa kuamini
yani siamini kama namsaliti mme wangu pls tusirudie tena cjui nitamtizamaje mme wangu
Na wewe
umesahau na hii... Hv unajua toka nifunge ndoa ww ndo mwnaume wa kwnza knifundisha kutoka nje ya ndoa yng?. Cjui umeniwekea nin mpk nmekukbalia!
so hard to believe
waongo tu
du inaonysha kama nyie wote nyie mnakula wake za watu god forbid
 
gosh!

Jeez

Geez

nashindwa kuamini

Na wewe

so hard to believe

du inaonysha kama nyie wote nyie mnakula wake za watu god forbid

Usiwahukumu wote katika fungu moja mama,kwani si wote watembeao na wake za watu,wengine ni wazee wa chabos.
 
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!

Kama hujazoea si uache????

umesahau " unajua mume wangu ananiamini sana........."

'nakupa lakini usirudie tena kuniambia haya mambo'.Hii ulisahau te te teh

Ina maana umenidanganya mpaka leo namsaliti mume wangu,kumbe ndio mchezo wake na ameshazoea.

yani siamini kama namsaliti mme wangu pls tusirudie tena cjui nitamtizamaje mme wangu

umesahau na hii... Hv unajua toka nifunge ndoa ww ndo mwnaume wa kwnza knifundisha kutoka nje ya ndoa yng?. Cjui umeniwekea nin mpk nmekukbalia!

Usiwahukumu wote katika fungu moja mama,kwani si wote watembeao na wake za watu,wengine ni wazee wa chabos.

sawa mheshimiwa koment zao ndo zimenifanya nisemehe haya ,nimesoma katikati ya mistari,
happy new year Paka Mweusi
 
Hivi ukajua mumeo ndo kakomenti hizo comment kali kali namna hii utasemaje? pili, nataamani sana tukutane live, sisi wote tuliocomment hapan, tuangallie kama kweli tunaendana na comment hizi!

ila ukijizoesha wake za watu....mmmh huwezi acha, heri uache tu kabla ya kuonja maana ujinga wao (mtenda na mtendwa) hakuna anayekataa, lazima mta-do kila saa, kila siku maadam nafasi inapatikana!
 
Mumeo au mkeo akirudi home siku hio akakuambia yafuatayo, ujue umeibiwa: Moja; siku hio anakuonyesha upendo wa ziada, kama vile ndo mmeoana, lakini atajiepusha msi-do, hapo umeliwa: pili; anakusifia mambo ya kazini na kusisitiza amechoka kwa kazi nyingi huku akiikandia kazi yake kua ni ngumu, hapo napo kwa heri; tatu; akirudi maneno mengi hayaishi, stori zenye kutokujiamini kwingi...mmhh umekwisha; SASA ili kumkamata muombe game, lazima whether ni Mume au mke, game itakua nyepesi mno, kutimiza wajibu tu
 
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!
Kama hujazoea si uache????
Anasema maneno hayo wakati imeshapotea limebaki shina na maneno yakichokozi utasikia namwonea wivu mkeo unamb....nzuri kama ilitengenezwa special kwa ajili yangu!!Dam!!!
 
my favourite ni hiii......

mume wangu mkali sana,akijua ataniua....lol

Teh teh. Another good one after all is said and DONE ni hii:

...'Ngoja mi nitangulie kutoka!... Nikifika nyumbani hayupo nitakubeep'!!

Teh teh. Another good one after all is said and DONE ni hii:

...'Ngoja mi nitangulie kutoka!... Nikifika nyumbani hayupo nitakubeep'!!

Kweli we ni mzoefu yani hiyo hapo juu ni kweli tupu.
Akikuta yupo ata ku text, Mr yupo bye,
 
Shetani ameingia kistyle, wake na waume za watu wamekuwa kama ni kawaida na kitendo kimehalalishwa. Mijitu unaikuta iko hotel imetulia yote ni married haina hata aibu.

Tusemeje, ndiyo utandawazi kwenye mambo ya ndoa hayo. Ila tumuogope Mungu.
 
Na hii" mke wangu alining'ang'nia tu, hata sijawihi kumpenda yaani sijui kwa nini sikukuona kabla yake, nanii... yako tamu, ngoja nimpigie nimwambie ntachelewa kurudi nyumbani.
 
Back
Top Bottom