Yasemekana ni kama Jeneza la muda

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
DSC09336_zpsfc8d1443.jpg

wanazuoni wa elimu ahera wanaitafsiri ndege kama jeneza la muda...unadhani kuna ukweli?
 
Wanazuoni wenye elimu ya usafirishaji wanasema ndege ndio usafiri wa uhakioka zaidi kulio mwengine.
 
sababu waliyoitoa ni nini hadi kufikia hitimisho hilo?
kwamba ukiwa ndani ya ndege muda wowote unatoweka duniani sababu ni chombo ambacho hakina muamana pindipo kipatapo ajali
 
kwamba ukiwa ndani ya ndege muda wowote unatoweka duniani sababu ni chombo ambacho hakina muamana pindipo kipatapo ajali
kumbe kuna watu wanaamini hivi? ndio maana magufuli hataki kusikia ndege kabisa
 
Back
Top Bottom