Yard za magari bongo

Yard za magari bongo

darasa7

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
395
Reaction score
61
Jamani nimepitia humu JF watu wanalaumu yard za bongo. mara wanabadilisha engine, mara wanatoa dubai machakavu,mara wanabadisha vifaa.Hivi hakuna yard inayoagiza kutoka japani ambayo inahaminika!!! mi napenda unaenda yard unacheki kitu unapenda unanunua,tunaangusha wabongo
 
SBT Japan ni reliable Japan Car dealers wanaletaga magari mengi huku bongo wanaweka kwenye yard zao. Wacheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom