Yapi ni matumizi ya makaa ya mawe kutoka Ruvuma?

Tumezubaa sana, Sijajua kwa nini pamoja na matatizo yote ya umeme hatujawahi kuwa na mitambo ya kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe hapa nchini wakati ni teknolojia ya kawaida tu ya kizamani.
Nani alikuwa anamiliki kiwira..siyo tanesco?
 
Kila siku ukipita njia ya Iringa Dodoma, lazima ukutane na lori za kutosha tu zenye majina Khanji, Bhanji, Ruvuma Coal sijui zikiwa zinatoka Ruvuma kubeba hayo makaa ya mawe, au zikiwa zinaelekea huko kwenda kuchukua mzigo.

Na ukifuatilia kwa undani, unaweza kukuta serikali inaambulia 4% tu kama mrabaha wa hayo makaa! Halafu wakati huo huo inawapiga wananchi wake kwa kodi na tozo za kila aina pasipo na huruma!!
 
Mradi wa mama huo
 
Kwenye viwanda vya simenti. Yanatumika kwenye blast furnace kuchoma material ya kuzalisha saruji.
images (1).jpeg
 
Yanahitajika wapi? akili ya kufikiria mwekezaji ndiye anajua matumizi ya kitu kiko nyumbani kwako kuliko wewe ni utegemezi mbaya kabisa wa kitumwa! Fikiri kwa nini umepewa wewe hajapewa mwingine..utajua matumizi yake ili wewe utumie kwanza kabla ya kuwapa wengine.
Mbona huyatumii sasa? Hizi ni sawa na akili za kindezi za kung'ang'ania kiwanja katikati ya jiji wakati huna uwezo wa kukitumia badala ya kumpa tajiri ajenge ili akupe floor moja ama akulipe usepe.
 
Watanzania tuna hulka ya kuwa wazito kufanya maamuzi. Makaa ya mawe yalikuwa yanahitajika sana mpk miaka ya 1980s lkn hatukuwapa wawekezaji ili yatupatie faida.
Hadi leo yanahitajika sana. 40% ya umeme duniani ni wa makaa. China zaidi ya nusu ya umeme ni wa makaa. Morocco wananunua makaa south kuzalisha umeme. Ufisadi ndiyo unatusumbua. NSSF walitaka wawekeze Kiwira Coal Mines kuzalisha MW600. Wakakuta Mkapa aliisha nunua mgodi zamani kwa milioni 70 na kakopea mabilioni benki. Makaa bado yanahitajika sana, ni upimbi wetu tu.
 
Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia malori mengi ya ndani na kutoka nje ya nchi yakiwa yamebeba makaa ya mawe kutoka Ruvuma kwenda sehemu mbalimbali.

Matumizi hasa ya haya makaa ya mawe ni yapi ndani ya nchi na huko nje ya nchi yanakopelekwa?

Wafanyabiashara wadogo wadogo wanahitaji mtaji wa angalau kiasi gani kuweza kushiriki biashara hii na kuweza kunufaika na rasilimali hii muhimu ya nchi yao?
Google
 
Watanzania tuna hulka ya kuwa wazito kufanya maamuzi. Makaa ya mawe yalikuwa yanahitajika sana mpk miaka ya 1980s lkn hatukuwapa wawekezaji ili yatupatie faida.
Huwajui watu wa ccm wewe, watu wangesaini mikataba ya kuwafaidisha wao badala ya nchi
 
Back
Top Bottom