mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,331
- 4,857
Mmeshindwa hata kuwashawishi hao jamaa mnaowauzia waje wawekeze hata kiwanda cha kufua umeme ili kikabiriane na tatizo hili la mgao wa umeme? Au hamjui kama makaa ya mawe yanazalisha, umeme? au hela nnazolipwa mnapiga cha juu na kununua maroli na mabasi na kujenga mavituo ya mafuta imewanoga, kwa hiyo mnaona raha mkinunua lori, halafu mkapewa tenda za kubeba tena hayo makaa ya mawe basi mnajiona mmemaliza maisha mmekaa mnajiona wakubwa wenyewe na kujisifu ujinga hivi mnajua kama hizo roli zitaalibika madarakani mtatoka na makaa ya mawe yataishi na uzee utawafika na mtafilisika?
Hivi mmeshawahi kuwaza hao watoto wenye wajukuu zenu, watakuta mashimo na hapatakuwa na pakufisadi nao wakanunua maroli, viongozi wangu mnatumia akili gani kuwaza na ndio mana mpaka leo bado mnaongelea kujenga madarasa na mahospitali hizo ni akili fupi mlizonazo.
NB natamani sana nipate nafas yoyote ndani ya nchi hiyi niwafundishe jinsi ya kutumia raslimali zenu kwa manufaa na sio porojo zenu mnazotuletea