Yapi maneno kwa umpendaye baada ya kumaliza mazungumzo?

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
2,001
1,586
Wakuu habari za muda huu

Poleni sana na mihangaiko wa kwuta nzima.

Natumaini baadhi yetu tumepata muda nzuri wa kupumzika na familia zetu.

Jambo au mambo ambayo napenda leo tuyajadili ni hili:

Wewe kama mwanaume au mwanamke katika kumaliza mazungumzo yenu je ni neno gani bora la kuagana kati ya haya na unajisikiaje ukitamkiwa au kuandikiwa?

1. oky
2. sawa
3. thank you honey/darling
4. bye
5. sawa bhana
6. utajua.
7. nimekuelewa
8. oky my wife/husband

Je, wewe unapenda kumwambia maneno mpenzi wako na yepi huoendi kuambiwa baada mazungumzo?.

Karibuni wakuu tutillilike hapa

FB_IMG_16254259970694421.jpg
IMG-20210701-WA0001.jpg
FB_IMG_16247711749492210.jpg
 
Back
Top Bottom