Binafsi siwaogopi but they must earn my respect kama tiss ya awamu ya kwanza,kwanza neno tiss nalo lilikua ni siri na hakuna aliyepotezwa na wasiojulikana na wapinzani wote waliishi maisha yao na wapendwa wao hata kama walifungiwa ndani ya vijiji vyao au house arrest,hii ya sasa damu nyingi mno ipo mikononi mwao