Yapata miaka 13, nimeamua kuishi hivi

Yapata miaka 13, nimeamua kuishi hivi

Leo baada ya kusoma comment ya member mmoja humu Jf.Nimekumbuka nilipotoka na navo yachukulia mapenzi kwa miaka 13 sasa.Sio vibaya ku share maisha yangu ila simanishi msio ishi kama mimi mnakosea.!

Iko ivi.Tangu nianza mapenzi yapata miaka 13.sijaoa mpaka mda huu na sijawahi fikilia kuoa kabisa.Tangu kwa mpenzi wangu wa kwanza alio onesha kunitaka(nilikua bado sijui mapenzi ni nini) kwa mda ule nilikua nawaza kufiksha wastani nisije fukuzwa shule.nilikua mpole,msitaarabu na mtanashati(mpaka saivi niko ivo).

Kwa ufupi yule Dada nilikubali kua nae.nilikua mwaminifu kwake kwa miaka mi nne(sikuona umuhimu wa kumsaliti kiufipi alinitosha kabisa).Katika kipindi chote sikuwahi mpa hela kwa sababu alikua akikataa kata kata nusu ugomvi.

Nakumbuka aliwahi nambia hawezi kuuza usichana wake kwangu.

Baada ya miaka mi nne ya kua nae alianza kupwaya.Baada ya kumfanyia ushushushu wa kutosha niligundua ameanza kutoka na mtu Mzito(ukilinganisha na Mimi kipindi iko).

Kiukweli bado alikua akinipenda na kuniheshimu kama zamani.Baada ya kumuliza kwanini kanisaliti alisema ukweli kua huyo Jamaa amemsumbua kwa mwaka na kumshawishi kwa pesa akajikuta tamaa ya pesa ime mshinda.Nika mwambia Mimi na yeye basi(kikauzu nika move on).

Baada ya hapo niliweka juhudi sana kwenye masomo na shughuli za ujasiliamali.

Tangu siku hiyo nilipo mwacha sina huruma na kiumbe kiitwacho mwanamke.sikujali hisia zao kabisa.

Nakumbuka rafiki Yake ex baada ya kujua tumeachanana alianza kuniletea mapicha picha na mitego
hakujua nisha vulugwa usitaarabu ulibakia kwa vitu vingine vyote ila sio mapenzi.Kuna siku akazidisha nika mwita geto nika mwambia kweli kua asisubili Mimi kama nita mtongoza sina mda huo.Nika mwambia kama ana nitaka tukubaliane wote ila sio Mimi nimtongoze.Sina mda wa kushawishi mwanamke.Tulikubaliana tukawa wapenzi.Mi nikawa namhesabia tu siku ajichanganye ni mpunguze kwenye orodha yangu.

Siku luhusu mwanamke anijue A to Z,kila alie fikia kunichunguza nilimwambia tuachane.Nilie mwacha nilifanya kama siku wahi kua nae kabisa.Siku wahi kujali mwanamke ana huzuni kiasi gani kwasababu niliamini ndicho anacho stahili kabisa.

Kuna mwanamke mmojo kwa alivo kua dini imemkaa na alivo ishi(nilikua nae kalibu sana kikazi kwa miaka mitatu) hakika nilifikia hatua nika amini hakuna mwanamke dunia ya kileo anae mzidi hofu ya Mungu na Imani mwanamke yule.Baadae yule mwanamke alionesha dalili za kweli kwangu.Nae kama kawaida siku mtongoza nae hakuni tongoza ila tukaelewana(japo nafanya yote ila sijawahi kubali kuweka promise na mwanamke).Huyu nae nilimpita mala nyingi yeye Akisubili nita mtongoza ama kupromise kumwoa hadi nika mkapotezea.

wanawake walikosa wananzia wapi kulala mika nimewacha uku sikuwa tongozwa wala kuwapa ahadi.

Kila mwanake alio onesha nia kuwa na Mimi (apa mnafahamu mitego yao hawa wadada)nilipita nae bila kumtongoza wala kumpa ahadi yoyote.

NB:Mimi ni mkimya sana na sina mazoe ya kushobokea mtu.Siku wahi mfata mwanamke asie jilengesha kwangu.Hao sikua nao shida kwa sababu first love alie nisaliti alinifata yeye so kila mwanamke alie nifata kwa mitego yoyote nilijua anasitahili kabisa kupitwa na kuachwa.

Kuhusu mpenzi wangu yule wa kwanza(first love).Baada ya kukata Mawasiliano nae imepita miaka kumi siku nikapewa taarifa Mama Yake mzazi kafariki nikaenda baada ya msiba aliomba mawasiliano tukabadilishana.Siku baadae tukawasiliana alinuliza uko wapi(kazi YANGU) nilimdanganya nikamwambia kazi ya hadhi ya chini.Basi akahuzunika nakunambia Siku nikiwa Na shida nisi site kumwambia.Baada ya mwezi tukawa na mtoko kama marafiki tu.Katika mazungumzo yetu akanambia tuludiane amepita pengi tangu nimwache hajapumzika amekua wa Ku break kipindi chote .Kwa hasira sana moyoni nikawa nakumbuka yeye ndio sababu ya Mimi kua hivi nilivo.Siku mjibu Siku hiyo.Wiki ilofata nikamwambia ukweli ulivo.Nae akanambia tangu nilivo mdanganya kazi yangu na kipato changu kua cha chini alijua hakika simtaki kabisa.Tangu hapo tumekua marafiki tu.hakuna anae mkumbusha mwenzie mada husika.

Pamoja nime share nanyi story hii.Ukweli nmechoka na style ya maisha YANGU.Mwisho nikawaza pengine Mimi kuludiana na huyu mpenzi wangu wa kwanza ikawa dawa ya kuacha nacho Fanya?

Mungu anisamehe nimekosea sana.Naitaji kuacha. bola basi niwe single ila sio hio tabia.
Ila ww jamaa Una wivu Sana,mwenzio alipata mtu kwenye hela ukashindwa mpongeza kwa maendeleo yake!!!aiseee tubadilike wanaume
 
Mhhh sijaelewa, what happened exactly

yaani nilimpenda msichana mmoja hivi yeye alikuwa mjanja sana anajua kucheza na hisia za watu. alikuwa kumbe ana mtu wake anampenda sasa mimi nilipomuapproach alinikataaa kwa kuwa alikua na mtu wake ila akanipa condition niwe dada yake. jamani nilimpenda roho mwili akili na hisia. alichonifanya kama asset akiwa na shida lazima aniambie niitatue badala ya jamaa ake kisa eti mimi nimekuwa dada yake wa kudownload. sasa nikaamua kumuacha baada ya kushauriana na akili yangu. ule ulikuwa utumwa maana sijawahi kusema hapana kila kitu ndio. mapenzi hapana yaani niishie hapa sasa hivi mi natembeza mbupu tu sijali lolote.
 
Leo baada ya kusoma comment ya member mmoja humu Jf.Nimekumbuka nilipotoka na navo yachukulia mapenzi kwa miaka 13 sasa.Sio vibaya ku share maisha yangu ila simanishi msio ishi kama mimi mnakosea.!

Iko ivi.Tangu nianza mapenzi yapata miaka 13.sijaoa mpaka mda huu na sijawahi fikilia kuoa kabisa.Tangu kwa mpenzi wangu wa kwanza alio onesha kunitaka(nilikua bado sijui mapenzi ni nini) kwa mda ule nilikua nawaza kufiksha wastani nisije fukuzwa shule.nilikua mpole,msitaarabu na mtanashati(mpaka saivi niko ivo).

Kwa ufupi yule Dada nilikubali kua nae.nilikua mwaminifu kwake kwa miaka mi nne(sikuona umuhimu wa kumsaliti kiufipi alinitosha kabisa).Katika kipindi chote sikuwahi mpa hela kwa sababu alikua akikataa kata kata nusu ugomvi.

Nakumbuka aliwahi nambia hawezi kuuza usichana wake kwangu.

Baada ya miaka mi nne ya kua nae alianza kupwaya.Baada ya kumfanyia ushushushu wa kutosha niligundua ameanza kutoka na mtu Mzito(ukilinganisha na Mimi kipindi iko).

Kiukweli bado alikua akinipenda na kuniheshimu kama zamani.Baada ya kumuliza kwanini kanisaliti alisema ukweli kua huyo Jamaa amemsumbua kwa mwaka na kumshawishi kwa pesa akajikuta tamaa ya pesa ime mshinda.Nika mwambia Mimi na yeye basi(kikauzu nika move on).

Baada ya hapo niliweka juhudi sana kwenye masomo na shughuli za ujasiliamali.

Tangu siku hiyo nilipo mwacha sina huruma na kiumbe kiitwacho mwanamke.sikujali hisia zao kabisa.

Nakumbuka rafiki Yake ex baada ya kujua tumeachanana alianza kuniletea mapicha picha na mitego
hakujua nisha vulugwa usitaarabu ulibakia kwa vitu vingine vyote ila sio mapenzi.Kuna siku akazidisha nika mwita geto nika mwambia kweli kua asisubili Mimi kama nita mtongoza sina mda huo.Nika mwambia kama ana nitaka tukubaliane wote ila sio Mimi nimtongoze.Sina mda wa kushawishi mwanamke.Tulikubaliana tukawa wapenzi.Mi nikawa namhesabia tu siku ajichanganye ni mpunguze kwenye orodha yangu.

Siku luhusu mwanamke anijue A to Z,kila alie fikia kunichunguza nilimwambia tuachane.Nilie mwacha nilifanya kama siku wahi kua nae kabisa.Siku wahi kujali mwanamke ana huzuni kiasi gani kwasababu niliamini ndicho anacho stahili kabisa.

Kuna mwanamke mmojo kwa alivo kua dini imemkaa na alivo ishi(nilikua nae kalibu sana kikazi kwa miaka mitatu) hakika nilifikia hatua nika amini hakuna mwanamke dunia ya kileo anae mzidi hofu ya Mungu na Imani mwanamke yule.Baadae yule mwanamke alionesha dalili za kweli kwangu.Nae kama kawaida siku mtongoza nae hakuni tongoza ila tukaelewana(japo nafanya yote ila sijawahi kubali kuweka promise na mwanamke).Huyu nae nilimpita mala nyingi yeye Akisubili nita mtongoza ama kupromise kumwoa hadi nika mkapotezea.

wanawake walikosa wananzia wapi kulala mika nimewacha uku sikuwa tongozwa wala kuwapa ahadi.

Kila mwanake alio onesha nia kuwa na Mimi (apa mnafahamu mitego yao hawa wadada)nilipita nae bila kumtongoza wala kumpa ahadi yoyote.

NB:Mimi ni mkimya sana na sina mazoe ya kushobokea mtu.Siku wahi mfata mwanamke asie jilengesha kwangu.Hao sikua nao shida kwa sababu first love alie nisaliti alinifata yeye so kila mwanamke alie nifata kwa mitego yoyote nilijua anasitahili kabisa kupitwa na kuachwa.

Kuhusu mpenzi wangu yule wa kwanza(first love).Baada ya kukata Mawasiliano nae imepita miaka kumi siku nikapewa taarifa Mama Yake mzazi kafariki nikaenda baada ya msiba aliomba mawasiliano tukabadilishana.Siku baadae tukawasiliana alinuliza uko wapi(kazi YANGU) nilimdanganya nikamwambia kazi ya hadhi ya chini.Basi akahuzunika nakunambia Siku nikiwa Na shida nisi site kumwambia.Baada ya mwezi tukawa na mtoko kama marafiki tu.Katika mazungumzo yetu akanambia tuludiane amepita pengi tangu nimwache hajapumzika amekua wa Ku break kipindi chote .Kwa hasira sana moyoni nikawa nakumbuka yeye ndio sababu ya Mimi kua hivi nilivo.Siku mjibu Siku hiyo.Wiki ilofata nikamwambia ukweli ulivo.Nae akanambia tangu nilivo mdanganya kazi yangu na kipato changu kua cha chini alijua hakika simtaki kabisa.Tangu hapo tumekua marafiki tu.hakuna anae mkumbusha mwenzie mada husika.

Pamoja nime share nanyi story hii.Ukweli nmechoka na style ya maisha YANGU.Mwisho nikawaza pengine Mimi kuludiana na huyu mpenzi wangu wa kwanza ikawa dawa ya kuacha nacho Fanya?

Mungu anisamehe nimekosea sana.Naitaji kuacha. bola basi niwe single ila sio hio tabia.
Jirudi ndg!
 
Dont take life too serious. Katika maisha ukifanya wema, wema wako na utambae mpaka ukurudie. Ukifanyiwa ubaya, hakikisha unaishia kwako.
Umepotea mpenzi ...tuletee mambo banaaaa
 
Unatakiwa kusamehe huyo first love ili uwe huru kutoka kwenye Spirit ya Chuki na kisasi, hatimae umpende mwanamke mmoja ambae utamuoa.
 
Unawaumiza wengine kwa ajili ya mtu mmoja??
Katubu kwanza hizo dhambi zako ndo utampata future wife
 
Wakati unasoma shule ni kwa hakika ULIFELI KABISA KISWAHILI
 
Dont take life too serious. Katika maisha ukifanya wema, wema wako na utambae mpaka ukurudie. Ukifanyiwa ubaya, hakikisha unaishia kwako.
Lara mrembo wangu,nakuzimia na nilikuzimia long time mamii,napenda uandishi wako na style yako ya kulumbana Lara,nakupa salute na ubarikiwe na ujue toka rohoni kwako kwamba nina nia na ithibati ya kukutana na wewe ana kwa ana hapo Dar siku nikija nyumbani Tz ili japo nikushike mkono wako na kuubusu mamii,hakika wewe ni muelewa,sina nia mbaya ila ni appreciation tu habiby kwa michango yako humu ambayo wengine wanakuonea wivu kwa taaluma ulio nayo.
 
Leo baada ya kusoma comment ya member mmoja humu Jf.Nimekumbuka nilipotoka na navo yachukulia mapenzi kwa miaka 13 sasa.Sio vibaya ku share maisha yangu ila simanishi msio ishi kama mimi mnakosea.!

Iko ivi.Tangu nianza mapenzi yapata miaka 13.sijaoa mpaka mda huu na sijawahi fikilia kuoa kabisa.Tangu kwa mpenzi wangu wa kwanza alio onesha kunitaka(nilikua bado sijui mapenzi ni nini) kwa mda ule nilikua nawaza kufiksha wastani nisije fukuzwa shule.nilikua mpole,msitaarabu na mtanashati(mpaka saivi niko ivo).

Kwa ufupi yule Dada nilikubali kua nae.nilikua mwaminifu kwake kwa miaka mi nne(sikuona umuhimu wa kumsaliti kiufipi alinitosha kabisa).Katika kipindi chote sikuwahi mpa hela kwa sababu alikua akikataa kata kata nusu ugomvi.

Nakumbuka aliwahi nambia hawezi kuuza usichana wake kwangu.

Baada ya miaka mi nne ya kua nae alianza kupwaya.Baada ya kumfanyia ushushushu wa kutosha niligundua ameanza kutoka na mtu Mzito(ukilinganisha na Mimi kipindi iko).

Kiukweli bado alikua akinipenda na kuniheshimu kama zamani.Baada ya kumuliza kwanini kanisaliti alisema ukweli kua huyo Jamaa amemsumbua kwa mwaka na kumshawishi kwa pesa akajikuta tamaa ya pesa ime mshinda.Nika mwambia Mimi na yeye basi(kikauzu nika move on).

Baada ya hapo niliweka juhudi sana kwenye masomo na shughuli za ujasiliamali.

Tangu siku hiyo nilipo mwacha sina huruma na kiumbe kiitwacho mwanamke.sikujali hisia zao kabisa.

Nakumbuka rafiki Yake ex baada ya kujua tumeachanana alianza kuniletea mapicha picha na mitego
hakujua nisha vulugwa usitaarabu ulibakia kwa vitu vingine vyote ila sio mapenzi.Kuna siku akazidisha nika mwita geto nika mwambia kweli kua asisubili Mimi kama nita mtongoza sina mda huo.Nika mwambia kama ana nitaka tukubaliane wote ila sio Mimi nimtongoze.Sina mda wa kushawishi mwanamke.Tulikubaliana tukawa wapenzi.Mi nikawa namhesabia tu siku ajichanganye ni mpunguze kwenye orodha yangu.

Siku luhusu mwanamke anijue A to Z,kila alie fikia kunichunguza nilimwambia tuachane.Nilie mwacha nilifanya kama siku wahi kua nae kabisa.Siku wahi kujali mwanamke ana huzuni kiasi gani kwasababu niliamini ndicho anacho stahili kabisa.

Kuna mwanamke mmojo kwa alivo kua dini imemkaa na alivo ishi(nilikua nae kalibu sana kikazi kwa miaka mitatu) hakika nilifikia hatua nika amini hakuna mwanamke dunia ya kileo anae mzidi hofu ya Mungu na Imani mwanamke yule.Baadae yule mwanamke alionesha dalili za kweli kwangu.Nae kama kawaida siku mtongoza nae hakuni tongoza ila tukaelewana(japo nafanya yote ila sijawahi kubali kuweka promise na mwanamke).Huyu nae nilimpita mala nyingi yeye Akisubili nita mtongoza ama kupromise kumwoa hadi nika mkapotezea.

wanawake walikosa wananzia wapi kulala mika nimewacha uku sikuwa tongozwa wala kuwapa ahadi.

Kila mwanake alio onesha nia kuwa na Mimi (apa mnafahamu mitego yao hawa wadada)nilipita nae bila kumtongoza wala kumpa ahadi yoyote.

NB:Mimi ni mkimya sana na sina mazoe ya kushobokea mtu.Siku wahi mfata mwanamke asie jilengesha kwangu.Hao sikua nao shida kwa sababu first love alie nisaliti alinifata yeye so kila mwanamke alie nifata kwa mitego yoyote nilijua anasitahili kabisa kupitwa na kuachwa.

Kuhusu mpenzi wangu yule wa kwanza(first love).Baada ya kukata Mawasiliano nae imepita miaka kumi siku nikapewa taarifa Mama Yake mzazi kafariki nikaenda baada ya msiba aliomba mawasiliano tukabadilishana.Siku baadae tukawasiliana alinuliza uko wapi(kazi YANGU) nilimdanganya nikamwambia kazi ya hadhi ya chini.Basi akahuzunika nakunambia Siku nikiwa Na shida nisi site kumwambia.Baada ya mwezi tukawa na mtoko kama marafiki tu.Katika mazungumzo yetu akanambia tuludiane amepita pengi tangu nimwache hajapumzika amekua wa Ku break kipindi chote .Kwa hasira sana moyoni nikawa nakumbuka yeye ndio sababu ya Mimi kua hivi nilivo.Siku mjibu Siku hiyo.Wiki ilofata nikamwambia ukweli ulivo.Nae akanambia tangu nilivo mdanganya kazi yangu na kipato changu kua cha chini alijua hakika simtaki kabisa.Tangu hapo tumekua marafiki tu.hakuna anae mkumbusha mwenzie mada husika.

Pamoja nime share nanyi story hii.Ukweli nmechoka na style ya maisha YANGU.Mwisho nikawaza pengine Mimi kuludiana na huyu mpenzi wangu wa kwanza ikawa dawa ya kuacha nacho Fanya?

Mungu anisamehe nimekosea sana.Naitaji kuacha. bola basi niwe single ila sio hio tabia.
Mkuuuu wastan kwenye kiswahilii ulifikisha mbona 'L' na R ni mtihan but ipo hivi maisha ndio yalivyo don't trust tooo much utaumia but mpenz wa kweli pesa
 
Back
Top Bottom