Yani wanaume jamani

Yani wanaume jamani

Ila Mungu huwa anawapa adhabu hao watu,sijui huwa akili zinakua wapi km mpaka analala na mtoto wake wa kumzaa usiumie just relax adhabu yao imeandaliwa ipo tuuu

Taratibu dada yangu.. uko sehemu gani mbeya hapa nikuletee juice ya parachichi? sina kazi leo
 
Hahaaa hiyo adhabu ni nzur kweli pole mumie muombe Mungu yataisha tyuu
 
Ni wanaume au bwanako/hawara/boifrendi/hawara/mchepuko???Muache kujeneralize
 
vkeisy2006

Bila shaka wewe ni tatizo zaidi ya huyo ndio maana unafikiri kila jambo linatatuliwa kwa mikiki mikiki...! Mbona umeshindwa kusema nini tatizo kwa kuogopa maswali maana na wewe ni tatizo pia!
 
Last edited by a moderator:
unajua kujifariji...malizia na kumfukia kabisa au.....
 
Back
Top Bottom