Yani wanaume jamani

Yani wanaume jamani

vkeisy

2006 13:41 29th June 2015

We ni mwanaume umeshamcheat mkeo zaid hata ya
mara kumi na manyanyaso madogo madogo ye
anakuangalia tu sababu kashapigana sana...kashakuonya
sana lkn unaonyesha humpendi yaani kama umemchoka
fulani hivi.
Sasa mkeo kaona aanze mambo yake kunywa anarud saa
nane siku ingine anakukuta ndani nahisi na hukohuko
akapata bwana.
Lakini we hujui na cm yake hushikagi kwanza lakini kuna
siku ukakumbuka utam wa mkeo ukaona ngoja umfatilie
kidogo hamadi unakutana meseji kwenye cm ya mke
wako mpendwa mliyeapa kwa shida na raha mtapendana
untill death do u apart.
Tena meseji nzito anamwambia jamaa yake "nimemiss
unavyonikojoza" mana huku naguswa tu jamaa kazubaa
sana yn hafikishi, Keshokutwa tukapeane wangu.
Hapo kashakufumania sana wewe na anajua bado upo na
mahusiano na hawara yako mmoja na mnajiachiaga huko
mjini.
Hivi hapa ungekua we ndo mwanaume unafanyaje na je
huyu mwanamke nimfanyaje nimuache nimkate hichi
kiungo chake cha uzazi, nimpoteze duniani au nimfanyaje.
Kanidhalilisha sana kusema eti sifikiagi, huyu ni
mwanaume analalamika.
Hivi tumshaurije huyu na huyu dada je.
 
Pole. Ila hasira hasara. Na baya hurudishwa na jema siyo baya.
 
Ungenipa nafasi nikakueleza alionitenda huyu mwanamke hayo ulotendwa weye yangekuwa cha mtoto. Lakini ati bado nampenda, nikiangalia vitoto vyetu tulivyo jaliwa na Mola, Mhhh si haba kuvumiliana mpaka kieleweke.
Nilikasirika mpaka nikapofuka macho kwa kuviba. Unajua, nilijikuta kwenye mlango wa mchepuko wa zamaniiii, nkashtuka nkamrudia yule kichaa wangu. Mrudie kichaa wako huyo, hakuna mwingine wa kukufaa
 
Wanaume ndivyo tulivyo na wanawake ndivyo mlivyo na hivyo ndivyo maisha yalivyo utake usitake ndio hivyo hivyo!
 
That's some serial violence right there Ma'am, you should seek help before you actually hurt somebody or yourself.
 
Back
Top Bottom