na bado wakitoka hapo watadindisha tuna kupiga tu
Kwanini unataka Gegedo likugegede ww tu wakati mnajua tupo wachache Au hutambui kuwa sisi boys hapa duniani hata kila mmoja achukue ladies wa nne bado mtabaki?? kuwa mpole na wenzio wana hamu harafu kizuri kula na nduguyo
kwa hiyo unaua?dhumuni ya kumlaza kwenye maji ya barufu ni kumake sure hakuna kiungo chake kitasimama tena.....
hapana kumshikisha adabu ili akome.......kwa hiyo unaua?
Yashamkuta huyu,au panawasha?
Nyie wanaume jamani manakuaga na akili Gan lakini?
hahahaaaaaa hahahaaaaaa loooh pole shosti....nimeipenda hiyo adhabu ngoja nikuletee huyu wangu uanze nae
duh sawa mkuuhapana kumshikisha adabu ili akome.......
id bet my last coin huyu mdada atakua mchagga[/QUOTE
mi mhehe.................................
SI BURE INAWEZEKANA WAME "KUKOPA" MCHANA HUU :wacko::wacko: !!!
Njia rahisi ya kupunguza hasira bibie chukua nyundo na misumari nenda relini pigilia misumali juu ya reli kumbuka misumali isipungue 1kg
Teh wasulubu woote kasoro wangu tu...