Yani mda wote huo hapa huna gari?

Yani mda wote huo hapa huna gari?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,300
Reaction score
47,328
Mzuqa wanajamvi!

Kuna dogo flani nimjivuni Sana halaf anamashindano flan Na Mimi. Kaliletwaga long time hapa Na maza yake.

Mara ya kwanza kufahamiana naye 2010alikuwa akiongea kwenye simu kiswahili nikamuuliza dah Kumbe mbongo tukawa tunachonga. Aliniudhi nakuniambia Sasa wote mkija huku Nani atabaki bongo nikamjibu mbona wewe huko hapa si urudi ukazibe Hilo pengo tuliloliacha?

Sasa Leo tumekutana naye baada ya muda mrefu. Dharau zake Kama kawa, bado tu unapiga kifagio nikamjibu ndio tatizo liko wapi? Gari unalo nikamjibu Sina akacheka nakuniambia Yani mda wote huo hupo hapa huna gari?
Nikataka kunyofoa simu Na wallet mfukoni nikaamua nimpotezee.

Gari Ni symbol ya ufahari/prestige.
 
Lakini nyumba ni bora zaidi ya gari. Kwani gari, kama ni yakutembelea ni sawa na mtoto mwingine kihuduma.
 
Mzuqa wanajamvi!

Kuna dogo flani nimjivuni Sana halaf anamashindano flan Na Mimi. Kaliletwaga long time hapa Na maza yake.

Mara ya kwanza kufahamiana naye 2010alikuwa akiongea kwenye simu kiswahili nikamuuliza dah Kumbe mbongo tukawa tunachonga. Aliniudhi nakuniambia Sasa wote mkija huku Nani atabaki bongo nikamjibu mbona wewe huko hapa si urudi ukazibe Hilo pengo tuliloliacha?

Sasa Leo tumekutana naye baada ya muda mrefu. Dharau zake Kama kawa, bado tu unapiga kifagio nikamjibu ndio tatizo liko wapi? Gari unalo nikamjibu Sina akacheka nakuniambia Yani mda wote huo hupo hapa huna gari?
Nikataka kunyofoa simu Na wallet mfukoni nikaamua nimpotezee.

Gari Ni symbol ya ufahari/prestige.
Nilikua huko juzi nilishangaa mno wakuja kukipigia kura Chama kinachokataa wakuja!! Watu Weusi tuna tabu sana yaani kwakua mtu kafika yeye ulaya hataki mwingine aje akiamini atamzibia nafasi yake!!
 
Kuna watu wapuuzi sana na huwa nawadharau mno, binafsi namiliki gari zaidi ya moja ila sijawahi ona ajabu kwa mtu kutomiliki gari.

Kila mtu ana priority yake katika maisha, yako wewe ni gari, mwenzio mashamba, mwingine nyumba nk. We must learn and understand this
 
kwa dar gari ni kitu muhimu.public transport haijakaa vizuri hata mimi nikipata hela nitanunua gari
 
Nilikua huko juzi nilishangaa mno wakuja kukipigia kura Chama kinachokataa wakuja!! Watu Weusi tuna tabu sana yaani kwakua mtu kafika yeye ulaya hataki mwingine aje akiamini atamzibia nafasi yake!!
Mkuu wacha tuu,hawa jamaa zetu huko mtu unabaki unajiuliza,kama kweli mtu ameishi Ulaya au America miaka yote hiyo na bado anatabia za kiswahili swahili,ni bora alivyoondoka kulikoni angeendelea kubaki hapa Bongo,maana angekua mchawi kabisa.
 
Sioni haja ya kumiliki gari kwa nchi ambayo mfumo wa usafiri umekaa vizuri. Nchi za wenzetu usafiri wao wa treni upo vizuri.
 
Back
Top Bottom