willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,083
- 1,326
Yanga inapoteza umarufu wake kwa kuwa na tabia kama za ccm mwisho wa siku itafuria.yangaccm sasa inapinga azam kurusha matangazo ya mpira hivo wanataka watu wa vijijini waje dar kuangalia mpira wao wakinafki shame on you azamu wanataka kila mtanzania aone vpl afu nyie mnapinga kisa mnawashabiki wengi endeleeeni hapo wana jf