Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Basi haya matokeo yawe consistent........! tuone hivyo hivyo na kwa Mafaro!
Mimi yanga,
Ila siwezi kufurahia kuwafunga vibonde bao 14!
Hii timu Comoro hufugwa kila raundi ya kwanza! sasa jipya hapo ni nini?