Yanga yasonga mbele kwa mabao 14-1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga yasonga mbele kwa mabao 14-1

Discussion in 'Sports' started by Babuji, Feb 15, 2009.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Feb 15, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TIMU ya soka ya Yanga muda mfupi uliopita imeweza kuiangushia kipigo cha mbwa mwizi Eoile d’Or Mirontsy ya Comoro baada ya kuifunga mabao 6-0 katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa katika Uwanja wa Beaumer mjini Moroni.

  KIUNGO mshambuliaji Mrisho Ngassa ameweza kuifungia Yanga mabao matatu ndani ya kipindi cha kwanza cha mchezo huo sambamba na beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ aliyefunga moja.

  Mara baada ya kupata mabao hayo, Yanga ilijiahidi kuongeza mabao mengine lakini Mirontsy walionekana kuzuia zaidi na kwenda mapumziko ikiwa nyuma kwa mabao 4-0.

  Source: Nifahamishe.com
   
  Last edited: Feb 15, 2009
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hawa tayari wamechoka..nashangaa kuna haja gani kuwaonea watu wachovu!

  Uonevu kitu mbaya sana!
   
 3. B

  Babuji Senior Member

  #3
  Feb 15, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeboyebo wanatishaaaa kusema kweli!! :) :) :)
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hasa wanapokutana na vibonde!
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Utawajua tu......
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wee dogo mimi ni seneta pale Jangwani muulize Madega
   
 7. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Mmmh!!!
   
 8. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hiyo baiskeli ya miti tu.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwanini usiseme bajaji mtani wa jadi wee!!
   
 10. B

  Babuji Senior Member

  #10
  Feb 15, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kipigo kama hiki kinamsubiria Al Ahly ya misri mwezi ujao
  Mwaka huu kombe letu
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahaha Masanilo ni seneta pale yanga, anajua nini kitatokea kwa hao mafarao!!
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  BTW kuna bonge la soccer AC Milan na Inter Milan mpaka dakika hii Inter 2 AC 1
   
 13. J

  Japhet Member

  #13
  Feb 16, 2009
  Joined: Jan 26, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yanga Viva la Musique. Yanga hoyeee!!!!!! Simba mwaona donge!!!!!!!!!! Ma mpangoa wa kubadilisha makocha mara ngapi nyie Simba???????........Yanga tunatishaaaaaaaaaaaaaa
   
 14. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mimi yanga,

  Ila siwezi kufurahia kuwafunga vibonde bao 14!

  Hii timu Comoro hufugwa kila raundi ya kwanza! sasa jipya hapo ni nini?
   
 15. B

  Babuji Senior Member

  #15
  Feb 16, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiria mtangazaji wa Comoro alipokuwa akiwatangazia wenzake matokeo alisema jamani tumetolewa kwa jumla ya mabao 14-1 au alikaa kimyaa?

  mhh yebo yebo nomaa! sasa dozi kama hii ataipata Al ahly na wenzake wote watakaofuatia
   
 16. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kuweza kuendesha gari kijijini si kwamba hata Dar utaendesha inabidi kwanza uuelewe mji na mataa yake kwani vijijini hakuna mataa, Yanga waewaonea hao villagers wawasuiri watoto wa mjini Al Ahly uone jinsi Yanga watakavyo fyata mkia.
   
 17. B

  Babuji Senior Member

  #17
  Feb 16, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahenga walisema enzi hizooooo!  wakiwa na maana Fundi fundi tu!
   
 18. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 19. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni vizuri tukaijua Al Ahly ya 2008

  2008 (Champion: Ahly)
  1st round
  APR FC (Rwanda) 1/2 Zamalek (Moustafa Gaafar 4' / Gamal Hamza 71')
  Zamalek 2/0 APR FC (Rwanda) (Mahmoud Fathallah 52' Pen / Sherif Ashraf 79')
  -
  2nd round
  Al Tahrir (Eritrea) / Ahly (Al Tahrir withdrew)
  &
  Zamalek 2/0 Africa Sport (Core d'Ivoire) (Amr Zaki 30' / Mohamed Aboul Ela 43')
  Africa Sport (Core d'Ivoire) 2/0 (4-5 Pen) Zamalek
  -
  3rd round
  Platinium Stars (South Africa) 2/1 Ahly (Emad Moteab 82')
  Ahly 2/0 Platinium Stars (South Africa) (Emad Moteab 50' / Flavio Amado 69')
  &
  Zamalek 3/0 GD Interclube (Angola) (Amr El-Safty 4' / Mahmoud Abdel Razek Shikabaka 10' / Mohamed Ibrahim 26')
  GD Interclube (Angola) 2/1 Zamalek(Gamal Hamza 15')
  -
  Quarter Final - Group A
  P W D L GS GA Pnts
  1 Ahly 6 3 3 0 9 6 12
  2 Dynamos 6 3 0 3 6 6 9
  3 ASEC 6 1 3 2 7 6 6
  4 Zamalek 6 1 2 3 4 8 5

  Ahly 2/1 Zamalek-(Flavio Amado 28" / Ahmed Hassan 66")(Gamal Hamza 62')
  -
  ASEC Mimosas (Cote d'Ivoire) 0/0 Ahly
  Zamalek 1/0 Dynamos Harare (Zimbabwe)-(Amr El-Safty 3')
  -
  Zamalek 0/0 ASEC Mimosas (Cote d'Ivoire)
  Ahly 2/1 Dynamos Harare (Zimbabwe)-(Mohamed Barakat 5' / Mohamed Aboutraika 90+5')
  -
  ASEC Mimosas (Cote d'Ivoire) 3/0 Zamalek
  Dynamos Harare (Zimbabwe) 0/1 Ahly-(Mohamed Barakat 10')
  -
  Zamalek 2/2 Ahly-(Gamal Hamza 42' / Junior Agogo 51')(Flavio Amado 9' / Mohamed Aboutraika 70')
  -
  Dynamos Harare (Zimbabwe) 1/0 Zamalek
  Ahly 2/2 ASEC Mimosas (Cote d'Ivoire)-(Mohamed Aboutraika 4' / Mahmoud Samir 76')
  Semi Final
  Enyimba (Nigeria) 0/0 Ahly
  Ahly 1/0 Enyimba (Nigeria)-(Flavio Amado 25')

  Final
  Ahly 2/0 Coton Sport (Cameroon)-(Wael Gomaa 3' / Flavio Amado 15')
  Coton Sport (Cameroon) 2/2 Ahly-(Ahmed Hassan 38' / Shady Mohamed 89' Pen)
   
 20. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145

  Habari ndo hiyo Yoyo! Pongezi zangu nazihifadhi hadi baada ya pambano na Ahly ya Misri.
   
Loading...