ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,010
TANZANIA imezizima baada ya yanga kushusha kifaa kutoka kingston fc ya jamaica,kifaa hicho kiliwahi kukipiga katika team ya lille ya ufaransa na kinachezea pia team ya taifa jamaica maarufu kama reggae boys