Yanga yasajili mkata umeme wa ki jamaica, ni balaa

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,010
TANZANIA imezizima baada ya yanga kushusha kifaa kutoka kingston fc ya jamaica,kifaa hicho kiliwahi kukipiga katika team ya lille ya ufaransa na kinachezea pia team ya taifa jamaica maarufu kama reggae boys
kiu.jpg
 
Back
Top Bottom