Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

358132229_18226265845226150_1278681305450744382_n.jpg
 
Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda akachukua nafasi ya beki la CHAN Douambia.
Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga


Kuna jamaa mmoja mwenye marienge na mke wake waliwahi kuanzisha dini ya ajabu ambayo mafundisho Yao yalikuwa yanapingana na ukristu, walikuwa wanauza vipodozi viiteavyo ZOA ZOA hivi siku hizi yupo wapi huyo jamaa?
 
Back
Top Bottom