Yanga yafungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana

Kwa timu tuliyonayo waambieni Fifa hatuitaji kusajili timu yetu imekamilika.

Utamu tunaopata kwa wachezaji tulionao unatosha.

NB: Msisahau juzi tu kocha wenu Sven/kishingo aliwapeleka Simba Fifa kwa madai ya kutolipwa fedha zake.

Ata kitayose walikua wanadaiwa karibu na timu nzima wiki mbili zilizopita na kwasasa wameshamalizana nao na wameruhusiwa kuendelea na usajili.

Iyo ni ishu ndogo kwa klabu kama Yanga.
 
Hatimae Yametimia Timu KUBWA imekumbana na RUNGU la FIFA kuzuiwa KUSAJILI MCHEZAJI yeyote kutokana na KUDAIWA na MMOJA wa Wachezaji wake .
Hii no AIBU kwa TIMU inayojinafsi kuwa ni KUBWA huku ina MADENI.
-1514608250.jpg
 
Kwahyo tff hamkuona muda wa kupost hii taarifa mpaka baada ya kumpa mtu 5,acheni hujuma.na nyie wananchi acheni ujanja ujanja asee hao fifa watawarekodi kuwa nyie ni matapeli juz ilikuwa yule kocha wenu,mara morison kawashtak,mara bigi,viongozi acheni umba mba mba.
 
Halafu usajili wenyewe mwisho kesho...au wanataka chivalilo asitangazwe..
Hahahahahahahahahahaha....

Wanajua yanga sasa inakoendea itaua mtu.
 
Kwa timu tuliyonayo waambieni Fifa hatuitaji kusajili timu yetu imekamilika.

Utamu tunaopata kwa wachezaji tulionao unatosha.

NB: Msisahau juzi tu kocha wenu Sven/kishingo aliwapeleka Simba Fifa kwa madai ya kutolipwa fedha zake.

Ata kitayose walikua wanadaiwa karibu na timu nzima wiki mbili zilizopita na kwasasa wameshamalizana nao na wameruhusiwa kuendelea na usajili.

Iyo ni ishu ndogo kwa klabu kama Yanga.
Lipeni hela, kusajili mmekamilika haya lipeni deni na mhakikishe mlio nao mnawalipa wasije tena wakina azam wakajichotea wakati ninyi mmesajili vyema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom