Yanga ya kimataifa yakwama, watembeza bakuli

Una stress za kupiga magoti. Aliyesema anaidai Yanga ni mwenyekiti wako. Swali muulize yeye.Huna hadhi ya kutukanwa na mimi. Najua unawashwa tafuta mkunaji.
 
Hivi hadhi yangu unaijua hadi ukalinganisha na ya kwako? Kaendelee kupumuliwa kisogoni !
 
Rudini kwenye mada vinginevyo ntapigwa ban..!

Jamaa anaidai Mkodisho FC bil 11 na yeye anadaiwa bil 13 jikiteni hapo
Mkuu, sina tatizo hata siku moja. Anaacha hoja anaanza lugha za matusi. Mara Zuzu mara hamnazo. Yanatoka wapi hayo?
Akiandika kama wewe kuna tatizo gani?
 
Kwani mlimyimwa? Simlizikataa wenyewe? Manji kawawekea ngumu ndio mnazikumbuka hizo hela. Kweli Yanga ni vichwa panzi.
NENDENI SERIKALINI WAWAPE PESA MAANA HAWATAKI MPATE PESA KUPITIA MFUMO MPYA WA UENDESHAJI CLUB WANATAKA MUWE MASIKINI KIASI CHA KUMTEGEMEA MTU MMOJA KAMA ILIVYO SASA.
 
Ukianza kutukana utatukanwa. Ukija kistaarabu utajibiwa kiustaarabu. Mmetukana tumevumilia. Kuitwa zuzu na kuwaita wengine wajinga hamna tofauti.
 
Mjinga sio tusi hata siku moja. Mjinga ni ignorant - asiyejua kitu fulani. Kila binadamu ni mjinga wa kitu fulani maana hakuna anayejua kila kitu.
Vyema utumie hii principle uliyosema - ukija kistaarafu utajibiwa kistaarafu. Hilo lipo sawa.
 
Kama unakubali kuitwa mjinga kwa tafsiri yako hilo ni juu yako.Mjinga ni stupid,fool,dunderhead.
 
Mkuu, sina tatizo hata siku moja. Anaacha hoja anaanza lugha za matusi. Mara Zuzu mara hamnazo. Yanatoka wapi hayo?
Akiandika kama wewe kuna tatizo gani?
Tatizo lipo mkuu.. usingemrudishia kama hivyo, Ngarna ameteleza tu kwasababu namjua ni timu ushindi wote pale msimbazi

Ila kiukweli mmekwama kwa sasa kukumbuka pesa za TFF ambazo mliachana nazo hiyo yote ni fresha ya mishahara na Simba SC mlipe 50 ml

Na leo ntatembelea kucha dhidi ya Ndanda FC
 
At least umetambua kwamba aliteleza.

Hizo za Kessy mmeshauriwa na Rage msichukue. Lakini jinsi mlivyo na njaa, tayari mmeandika barua TFF kuzidai.

Ndanda atatulizwa hata kama mmempa kila kitu ili ashinde au kutoa draw na Yanga.
 
Kama unakubali kuitwa mjinga kwa tafsiri yako hilo ni juu yako.Mjinga ni stupid,fool,dunderhead.
Kwa hili la tafsiri, tukubaliane kutokubaliana. Kwanga mjinga ni ignorant. Mpumba.vu ndiyo stupid. Ni vitu viwili tofauti
 
At least umetambua kwamba aliteleza.

Hizo za Kessy mmeshauriwa na Rage msichukue. Lakini jinsi mlivyo na njaa, tayari mmeandika barua TFF kuzidai.

Ndanda atatulizwa hata kama mmempa kila kitu ili ashinde au kutoa draw na Yanga.
Hata siku moja Simba SC haifanyi huo upuuzi wa gharama kwa timu pinzani.. mchezo huo upo pale jangwani Toto Africa ikija hapa kila kitu

Na juzi kuna shabiki wa Yanga alisema hawa viongozi ni ovyo sana yaani wanaacha kulipa mishahara wachezaji, wao wang'ang'ania JKT kulipia hotel ili Mnyama afungwe na huyo ni yanga damu
 
Tatizo wanafikiri upuuzi wanaofanya wao basi na sisi tunaufanya. Waliwakodishia Majimaji Gymkhana wafanyie mazoezi na kuwalipia wachezaji wao posho .Matokeo Majimaji akapigwa 4 mtungi. Sasa hali yao dhoofu hal wachezaji wameanza kusoma alama za nyakati. Boussou huyo Senegal na Tambwe nae kasema aachwe asepe.Jamaa asiporudi na kuwasha simu basi bakuli za maharage na unga zitaanza kutembezwa kama enzi za marhum Mzee Rashid Matunda.
 
Hata siku moja Simba SC haifanyi huo upuuzi wa gharama kwa timu pinzani.. mchezo huo upo pale jangwani Toto Africa ikija hapa kila kitu

Na juzi kuna shabiki wa Yanga alisema hawa viongozi ni ovyo sana yaani wanaacha kulipa mishahara wachezaji, wao wang'ang'ania JKT kulipia hotel ili Mnyama afungwe na huyo ni yanga damu

Wala hujakosea. Lakini kubali kwamba mchezo huu unafanyika na timu zote mbili. Ndiyo mpira wa Bongo. Najua wote wanafanya. Azam alijaribu hadi kwa waamuzi wakati ule. sijui kwa sasa.
 
Narudi tena utamaduni huo Simba SC hakuna ndio maana hata zile timu za Azam, Mtibwa, African lion mnazodai kuwa ni matawi ya Simba ushindani wake si kitoto zinaifunga Simba

Lakini nakuliza kwanini Toto Africa haifui dafu kwa Yanga wako tayari washuke daraja miaka yote?
 
Sio kufua dafu tu.Msimu uliopita Mwenyekiti wa Toto alitangaza kabisa kwamba yeye ni Yanga tena siku mbili kabla ya mechi na Yanga .Unategemea nini?Mwizi wa mifukoni akipanda daladala anachunga mfuko wake kwani anadhani wote waliomzunguka ni wezi kama yeye.
 
Ha ha.. mkuu nakumbuka hiyo issue hii timu ya Toto Africa inakera sana inadidimiza soka.. Rage alisema kuwa haiwezekani timu isajili kwa gharama wachezaji professional halafu timu inunue mechi..!

Very sad
 
Back
Top Bottom