Yanga ya kimataifa yakwama, watembeza bakuli

Mkuu, haki yetu iko pale pale.
Jamaa wameanza kuweka vikwazo maana walishazikopa siku nyingi
Utasikia mtafutano mkubwa
haki yenu kivipi??
mkataba upo wapi??

bodi yaligi na tff hakikisheni hawa vyura wakiingia mkataba ndio waanze kulipwa kuanzia siku ya mkataba kwenda mbele na sio kulipa madeni ambayo hayapo kwenye mkataba!

mtaanza kulipwa effective kulingana na tarehe ya mkataba!!
 
Mkuu ukweli unauma eti??
Haya andikeni barua kuutambua mkataba wa azam

Yakheee mwajitia mnapesa kumbe ni makapuku,
Any way hiyo ndio hasara ya kumtegemea mtu mmoja katika malipo ngoja nI
mkuu hawa vyura kama hawana mkataba madai yao wanalipwa kwa order ipi??

waingie mkataba kwanza ndio waaanze kulipwa kuanzia tarehe ya mkataba!
 
Utambuzi gani wanataka wakati mechi zote za Yanga zinarushwa? Bila mechi za Yanga nani ataangalia huo mpira kwenye runinga?
Hela haipo sasa wanatafuta sababu za ku delay kulipa. Yanga wanalijua hilo.
kama mnacheza azamu basi walikuja kuionesha azamu.

kama mnacheza na simba basi azamu walikuja kuionesha simba.

kama mnacheza na ndanda basi walikuja kuionesha ndanda ndio maana wana mkataba na ndanda kurusha mechi zao!

sasa nyie vyura mnadai hela ipi ilihali hamna mktaba wowotey baina yenu na azamu tv??

kalimeni vibarua huko manungu mpate hela nyiee vyura!
 
Msiba hauji peke yake. Twite nae anadai milioni 10 wanamzungusha. Milioni 10 imekuwa sawa na milioni 100.Ukata usikie tu.
 
haki yenu kivipi??
mkataba upo wapi??

bodi yaligi na tff hakikisheni hawa vyura wakiingia mkataba ndio waanze kulipwa kuanzia siku ya mkataba kwenda mbele na sio kulipa madeni ambayo hayapo kwenye mkataba!

mtaanza kulipwa effective kulingana na tarehe ya mkataba!!
That is day dreaming
 
kama mnacheza azamu basi walikuja kuionesha azamu.

kama mnacheza na simba basi azamu walikuja kuionesha simba.

kama mnacheza na ndanda basi walikuja kuionesha ndanda ndio maana wana mkataba na ndanda kurusha mechi zao!

sasa nyie vyura mnadai hela ipi ilihali hamna mktaba wowotey baina yenu na azamu tv??

kalimeni vibarua huko manungu mpate hela nyiee vyura!
Mkataba ni bodi ya ligi sio individual teams. Hata hilo halijui?
Kuna sehemu mikia wamesaini?
 
Unapoamua kuandika kiingereza basi andika kiingereza sahihi.
Will generating kosa.
Ungeandika will generate.
Will generate or will be generating. Minor issues!
As if hujawahi kufanya kosa la aina hiyo humu JF!
Thanks all the same!
 
Walisusa haya sasa andikeni barua ya kuukubali mkataba,jpm kaza nyuzi ivyo ivyo
 
M
Mkataba ni bodi ya ligi sio individual teams. Hata hilo halijui?
Kuna sehemu mikia wamesaini?
Mkataba una wahusika watatu.Azam TV,bodi ya ligi na timu husika. Timu zikiafiki masharti ya mkataba ndio zinapatiwa pesa.Ndio sababu Yanga waliugomea mwanzoni wakiuita mkataba wa kinyonyaji. Leo ukata umezidi wanajifanya kudai. Bodi nayo imewapa masharti ya kuandika barua ya kuutambua mkataba kwani mwanzoni waliupinga. Wanakwepa kuandika barua kwani itakuwa kwenda kinyume na msimamo wa jamaa.Jamaa aliupinga kwa nguvu zote.
Mkataba ni bodi ya ligi sio individual teams. Hata hilo halijui?
Kuna sehemu mikia wamesaini?
 
Baada Ya Manji Kuwahonga Wachezaji Wenu Vyura FC mukajiona Hamuna Shida Ya Hela... Sasahivi Jamaa Kazima Simu na Anawadai Billion 11 Munaanza Kupigia Magoti Azam Wawaruzuku Pesa Muliozigomea Mkataba Wake....
Yaani Yanga Ni Sawa Demu Anaerudi Kwa Bwana Wake Wa Zamani Baada Ya Kukataliwa na Bwana Mpya....
 
Ha ha ha Yanga ni sawa na demu? No comment kwa kweli!
 
Baada Ya Manji Kuwahonga Wachezaji Wenu Vyura FC mukajiona Hamuna Shida Ya Hela... Sasahivi Jamaa Kazima Simu na Anawadai Billion 11 Munaanza Kupigia Magoti Azam Wawaruzuku Pesa Muliozigomea Mkataba Wake....
Yaani Yanga Ni Sawa Demu Anaerudi Kwa Bwana Wake Wa Zamani Baada Ya Kukataliwa na Bwana Mpya....
Nani anamdai nani?
 
Wacha kujitia hamnazo. Aliyesema anaidai Yanga bilioni 11 unamjua. Ukijifanya zuzu kutuuliza sisi tukujibu nini?
Nadhani sasa unaacha discussion na inaanza kuwa too personal. Zuzu atakuwa baba yako sio mimi. Humu discuss issue acha matusi hata kama hupendi mawazo ya mtu. Come mierda!

Tumia muda ku reason kidogo sio kukurupuka kama panya. Manji ni mwenyekiti wa Yanga. Madeni ya Club anadaiwa mwenyekiti huyo huyo. Ndiyo mantiki ya kusema nani anamdai nani. Huwezi kufikiri zaidi ya pua yako.

Niliyejibu post yake yupo kimya na bila shaka ameelewa nini maana yangu.
 
Kiswahili lugha ngumu. Umeambiwa unajifanya "zuzu".Kama huwezi joto la jikoni usiingie jikoni. Huna hadhi ya kutukanwa na mimi wewe.Umeuliza swali umejibiwa. Umetukana watu umeguswa kidogo unaruka kama paka aliyebanwa mkia na mlango.
 
Sasa ndiyo nimeisha kuambia hivyo. Come basura!

Humu watu wana discuss hoja. Habari za zuzu, kujitoa ufahamu zinatoka wapi?

Kuna akina Sembo wapenzi wakubwa wa Simba tuna discuss hoja humu JF. Huwezi kukuta lugha za kishenzi hata siku moja.
 
Back
Top Bottom