Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,808
- 24,449
Nadhani mwaka 1988 Simba ilikaribia kushuka daraja ndipo Yanga ya wakati huo ikafanya huruma ya kuachia kombe lichukuliwe na Coastal Union kusudi Simba isishuke daraja. Nawaomba Yanga mwaka kesho wafanye huruma kama hiyo waruhusu angalau Simba ipate kitu cha kuweka kabatini: wawaachie ngao ya jamii.