Yanga waomba hela za azam tv

Yanga waomba hela za azam tv

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,038
Reaction score
13,467
Baada ya kudengua kupokea mkwanja toka azam tv na tff kuwakaushia,hatimaye katibu wa yanga mwalusako ameenda bodi ya ligi kuomba hela ya udhamini. Bodi ya ligi imewaambia waandike barua ili wapewe hizo hela.
 
Sema haki ya mungu!!
 
Dawa yao wasipewe tu ili siku nyingine waache kudengua.
 
Baada ya kudengua kupokea mkwanja toka azam tv na tff kuwakaushia,hatimaye katibu wa yanga mwalusako ameenda bodi ya ligi kuomba hela ya udhamini. Bodi ya ligi imewaambia waandike barua ili wapewe hizo hela.
Yule mkenya kapigwa chini ukatibu mkuu na kurudishwa mwalusako?
 
Wanaomba au wanadai? Kinachoangaliwa ni makubaliano ya mwisho, siyo majadiliano ya mwanzo. Si tofauti na unavyozabuni bidhaa sokoni, unayolipa ni bei ya mwisho, siyo aliyoanzia muuzaji.
 
Yap, Yanga vidume wamethubutu, vilabu njaa wakawasaliti. Kina Rage washatafuna siku nyiiingi. Njaa mbaya sana aiseee.
 
yap, yanga vidume wamethubutu, vilabu njaa wakawasaliti. Kina rage washatafuna siku nyiiingi. Njaa mbaya sana aiseee.

ukidume wao upo wapi wakati wanapewa zile zile milion mia?
 
tatizo la yanga ni kwamba imejaa viongozi vilaza sana.kitendo cha kumsajiri kaseja ambaye ni mchezaji huru kwa milioni 40 kimenifanya nijue kuwa hatuna viongozi
 
Hujui soka wewe. Kwa akilo yako unadhani mchezaji huru anasajiliwa bure?
 
wanaomba!! tena ni zile zile milioni mia.
1. Azam imetoa poso (offer) ya milioni mia moja kwa kila timu. 2. Timu zote zikakubali ila Yanga 3. Yanga imetaka zaidi kwa hoja sahihi kwamba wana wapenzi wengi zaidi. 4. TFF ikawataka Yanga na Azam wazungumze na kufikia mwafaka. 5. Yanga na Azam wamezungumza, hatujui mwafaka uliofikiwa. 6. Klabu zote zimepokea milioni 100 zilizokubaliana na Azam 7. Yanga inataka kulipwa hela waliyoafikiana na Azam ambayo hatuijui. Swala ni je, hata kama wameafikiana hizohizo milioni mia moja, Yanga kutaka ipewe fedha hizo ni kuomba ama kudai?
 
Hujui soka wewe. Kwa akilo yako unadhani mchezaji huru anasajiliwa bure?

hasajiliwi bure lkn kulikuwa na haja gani ya kutumia hela zote hizo kwa mchezaji huru? au wewe 40m unaona ni ndogo? sikutofautishi na makalio wewe
 
Thanks kwa matusi, ila thamani ya Kaseja ni zaidi ya 40m. Sipendi kuendelea na huu mjadala kwa sababu ya hiyo lugha yako. Kwa heri.
 
ulipotumia lugha chafu kwa kuniita sina akili ulitaka nikuchekee? ukiniheshimu nami nitakuheshimu na ukinikashfu nitajibu mapigo.

wewe ulitakiwa kujustfy hizo 40m zinastahili vipi kwenda kwa mchezaji huru ambaye ameachwa na timu yake baada ya kuonyesha kiwango cha chini msimu uliopita na ambaye hamna timu yoyote iliyokuwa inamuwania.

narudi pale pale kuwa bei ya kaseja imekuwa inflated na hana thamani hiyo
 
1. Azam imetoa poso (offer) ya milioni mia moja kwa kila timu. 2. Timu zote zikakubali ila Yanga 3. Yanga imetaka zaidi kwa hoja sahihi kwamba wana wapenzi wengi zaidi. 4. TFF ikawataka Yanga na Azam wazungumze na kufikia mwafaka. 5. Yanga na Azam wamezungumza, hatujui mwafaka uliofikiwa. 6. Klabu zote zimepokea milioni 100 zilizokubaliana na Azam 7. Yanga inataka kulipwa hela waliyoafikiana na Azam ambayo hatuijui. Swala ni je, hata kama wameafikiana hizohizo milioni mia moja, Yanga kutaka ipewe fedha hizo ni kuomba ama kudai?

Waelimishe hawa jamaa. Wenye njaa zao wamemaliza zamani. Baada ya usaliti wa akina Rage, Yanga haina jinsi. Hiyo tv hewa utaanza lini?
 
Back
Top Bottom