Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
- Thread starter
- #21
waelimishe hawa jamaa. Wenye njaa zao wamemaliza zamani. Baada ya usaliti wa akina rage, yanga haina jinsi.
mkuu mnatiana moyo tu. Yanga wameomba wapewe milion mia tu. Haijaongezeka hata mia. Sasa mlikataa nini?