Yanga wafungwe kila mechi

Dua la kuku halimpati Mwema.

Pole sana furaha yako mwisho jana Hizi wiki tatu zimekutosha sana kufurahi.
 
Haya yanaitwa maumivu....
 
“Yanga walitushambulia lakini niliwaambia wachezaji wangu wasiogope… Watulie tumalize kipindi cha kwanza salama kisha kipindi cha pili tutashambulia kwa sababu tutakuwa tumeshajua madhaifu yao…! Tulifanya hivyo” team ambayo naiogopa Tanzania ni simba SCFrolent Ibenge.
 
Dua la kuku halimpati Mwema.

Pole sana furaha yako mwisho jana Hizi wiki tatu zimekutosha sana kufurahi.

NBC PREMIER LEAGUE:

Furaha yangu inaishaje? Naongoza ligi, hata ukishinda bado naongoza ligi.

KIMATAIFA :
Naongoza kundi, wewe unaburuza mkia.

LIGI YA WANAWAKE:
Simba wanawake inaongoza ligi mimama ya yanga inazidiwa alama 9
 
True say ibenge tumemchapa mara 3 kwa mkapa.

Mara 2 kwenye caf champions league mara 1 kwenye shirikisho. Analijua vizuri balaa la simba.
 
Na baba yako afungwe miaka mia nane!! Mbaavu zako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…