Mataratara
Member
- Dec 13, 2013
- 8
- 0
Yanga imara!!!
kituo gani cha tv cha kimataifa kinaweza kutangaza matokeo ya hawa yanga???!!!kwa timu hizo za daraja la nne!!!
Acha uongo mkuu kwani wao wasiposema mitandao na kijamii na tv za kimataifa nazo zimezuiliwa danganya watoto.
acha umbeya.ulikuwepo?mtoto wa kiume kuwa mbeya ni hatari sana!
Mmbea ninan sasa,mchezaj aliyeshindwa kuficha siri au mtoamada? 7 - 1
Umbeya maana yake ni hali ya kusikiliza maneno na kuyapeleka huko na huko.
Kwa hiyo jamaa kama ni mmbeya..basi habari za kufungwa ya 7-1 ni za kweli.
Ni Niyonzima, alipokuwa anajisifia goli lake mojaulikuwepo? unaongea pumba tu hapa huyo mchezaji alietoa hizo taarifa ni nani nyie wanafiki