Yanga wadai Azam ni Waarabu

Yanga wadai Azam ni Waarabu

Balile

Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
75
Reaction score
140
Ndugu Wanasimba,

Leo nikiwa katikati ya Jiji la Dar karibu na ofisi za gazeti letu JAMHURI nimekutana na mjadala ulionitoa jasho. Mjadala wenyewe unahusu mchezo wa leo kati ya Yanga na Azam.

Wapenzi wa Simba wanasema Yanga watagawa pointi kwa Azam. Yanga wanajitetea kuwa Azam inamilikiwa na Mwarabu Bakharesa na miaka yote Yanga hufungwa na Waarab hivyo leo kufungwa na Azam utakuwa mwendelezo wa wiki iliyopita.

Mdau unasemaje? Changia hoja.

Balile
 
Dproookuchijjjjjdorojerooooooo oooooohhhdoroooookwikwiijjjjooohhhhh
 
Huu uzi haufai hapa…hapa ni jukwaa la siasa…peleka uzi huu ktk jukwaa la michezo au jukwaa la umbea au jukwaa la ubaguzi!!!!!!!!!
 
Ndugu Wanasimba,

Leo nikiwa katikati ya Jiji la Dar karibu na ofisi za gazeti letu JAMHURI nimekutana na mjadala ulionitoa jasho. Mjadala wenyewe unahusu mchezo wa leo kati ya Yanga na Azam.

Wapenzi wa Simba wanasema Yanga watagawa pointi kwa Azam. Yanga wanajitetea kuwa Azam inamilikiwa na Mwarabu Bakharesa na miaka yote Yanga hufungwa na Waarab hivyo leo kufungwa na Azam utakuwa mwendelezo wa wiki iliyopita.

Mdau unasemaje? Changia hoja.

Balile

Duh huyu ni mwandishi wa habari Nguri kama sikosei ni mhariri..Kazi ipoo kwa kweli:sad:
 
Sidhani kama Yanga atauza mechi leo La hasha!!! si kwa Azam maana hizi timu mbili huwa hazielewani kila mmoja anajiona tajiri au bora kuliko mwenziye.....Over
 
Cha msingi hapa Yanga auze mechi...! Azam mechi za kimataifa wapo vizuri kuliko Simba
 
Back
Top Bottom