Shy,
Wachezaji wa Yanga kutokana na historia ya hii miaka 8 kutomfunga Simba inawafanya wacheze kwa stress na pressure ya ushindi. Hivyo kila mmoja anaogopa kufanya makosa ambayo yasije leta kizaaa but sifikiri Simba ni wazuri kiasi hicho kama defence ni nzuri saana imeruhusu vipi magoli yote hayo?