Naelekea uwanja mkuu mpya wa Taifa kuangalia mtanange kati ya Simba na Yanga. Kwa kupitia kilonga mbali changu nitakuwa nawaletea live updates ikiwa kila kitu kitaenda sawa ( ie masuala ya credit )
Leo ndio leo kandambili hawatoki iwe isiwe lazima tuwafunge, Mnyama kanyaga twende! eeeh kidedea!
Stay tuned