kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 569
- 608
Watu wanasema "Mpira ni bahati". Uongo. Mpira ni Sayansi 100%. Timu inayochukua ubingwa wa ligi inapimwa kwa sayansi, sio kwa kupiga kelele kwenye vijiwe vya ghahawa
Kuna baadhi ya mashabiki nimeona wakimshambulia eng heris eti anafanya sajili mbovu.kocha analeta ambao hawaendani na falsafa ya timu wengi wao hawajui falsafa Ni nini Ila wanaropoka tu nakufuata mkumbo.by data kwa wachezaji wa yanga wote Wana takwimu nzuri lakini Kuna baadhi ya Watu wanapiga kelele tu bila kujua data za mchezaji mfano Kama Hussein zakuan jamaa ana takwimu nzuri Sana assist 4 mpaka Sasa ulimtoa kinara libase anafuata yeye.pia Albert kangwanda yupo vizuri shalulile,boka,zimbwe wote wapo kwenye kiwango Bora
Lazima tuukubali kuwa simba ipo kwenye kiwango Bora Sana Hali ambayo inasababisha Yanga kuonekana mbovu lakn yanga ipo vizuri Sana .
Hii pressure ya kuachwa Alama tano na Simba itawaathiri Sana mashabiki ambao hawafuatilii mpira kwa kiwango kikubwa.mara zote tano ambazo Yanga amechukua ubingwa haijawahi kutokea kuachwa Alama tano na Simba. ndiyo huu msimu imetokea.Ni ngumu kusema anaweza kufanya comeback lakini inawezekana .Hali hii inapoelekea baadhi ya mashabiki kuona kila kitu kinachofanywa na uongozi Ni kibaya.kila kocha ambaye viongozi walimuona mashabiki wanapinga kila shabiki hakubali maono ya viongozi.hii Ni mbaya Sana Hali hii ikiendelea ubingwa utasikika kwenye radio.lazima viongozi wapewe nafasi ya kufanya maamuzi
Eti wengine wameenda mbali zaidi nakusema eng heris kafanya sajili mbovu bila kujua sjilinni kamali inaweza kutiki au kufeli Ila kwa mtazamo wangu eng heris said kafanya sajili nzuri tu Ni kupewa muda tu kea baadhi ya wachezaji