Yanga vs JKT Oljoro!!!

Kuna mzungu mmoja nimekaa nae hapa jukwaani aniuliza hii yanga ina asili ya latin america kwa jinsi wanavyosakata kabumbu
mwambie hiyo ni timu ya wananchi wa tanganyika,.mabingwa mala mbili wa mfululizo wa afrika mashariki na kati
 
Vipi 3 zinatosha nini mbona hawaongezi jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…