Yanga vs JKT Oljoro!!!

Yanga katangulia na baiskeli ya barafu juani
 
weekend inakwenda vizuri mkuu kuna mtu kaahidi utamu baada ya mechi!!

mkuu nimeshituka sana, mtu mzima kutolewa bikira ukubwani noma...hata hivyo naona vijana wa jangwani wamemgomea.!!
 
Tunashindilia libolo la 3 hapa ohh sorry gool la 3 ni
Kiiza
 
mkuu nimeshituka sana, mtu mzima kutolewa bikira ukubwani noma...hata hivyo naona vijana wa jangwani wamemgomea.!!
mkuu vijana wameamua kumtunzia heshima yake!
 
awa urojo wamefungwa la 3 kiiza zoezi la kubandua limefungwa rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…