Yanga vs JKT Oljoro!!!

Yanga vs JKT Oljoro!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
943
Ni saa 10.00 taifa.
Leo tunamvua rasmi Simba ubingwa!

Sasa kila mechi tutakayokua tunashinda ya ligi kuu kila mchezaji atalamba 70,000 cash.

Pia mabilionea Abdallah Binkleb na Seif Ahmed Magari wameahidi kutoa 5m-10m kwa kila mechi Yanga watakayoshinda.

Pia kuanzia mechi ijayo magori yatakua biashara nzuri kwa wachezaji,kila gori kununuliwa kwa bei mbaya!

Nia ni kushinda mechi tatu mfululizo ili kutangaza ubingwa mapema.

Mechi hizo ni Dhidi ya(Oljoro JKT,mgambo JKT,ruvu JKT)
 
Young Africans Sports Club
Wapenzi, mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga SC, manaombwa kujitokeza kwa wingi leo katika uwanja wa Taifa ili kuishangilia timu yenu itakapokua inamenyana na timu ya JKT Oljoro kutoka Arusha

Hapatakuwa na matangazo ya mojamoja kwenye luninga SUPERSPORT kama ilivyotaarifiwa hapo awali.

EVER FORWARD, BACKWARD NEVER (EFBN)

napita tu tutaonana baadae
 
Ni saa 10.00 taifa.
Leo tunamvua rasmi Simba ubingwa!

Sasa kila mechi tutakayokua tunashinda ya ligi kuu kila mchezaji atalamba 70,000 cash.

Pia mabilionea Abdallah Binkleb na Seif Ahmed Magari wameahidi kutoa 5m-10m kwa kila mechi Yanga watakayoshinda.

Pia kuanzia mechi ijayo magori yatakua biashara nzuri kwa wachezaji,kila gori kununuliwa kwa bei mbaya!

Nia ni kushinda mechi tatu mfululizo ili kutangaza ubingwa mapema.

Mechi hizo ni Dhidi ya(Oljoro JKT,mgambo JKT,ruvu JKT)

Hao matajiri wenu hawanunui magoli ya mtaani maana ningewauzia magoli yangu leo asubuhi nimescore hat-trick.
 
Young Africans Sports Club Wapenzi, mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga SC, manaombwa kujitokeza kwa wingi leo katika uwanja wa Taifa ili kuishangilia timu yenu itakapokua inamenyana na timu ya JKT Oljoro kutoka Arusha Hapatakuwa na matangazo ya mojamoja kwenye luninga SUPERSPORT kama ilivyotaarifiwa hapo awali. EVER FORWARD, BACKWARD NEVER (EFBN)napita tu tutaonana baadae
gamu isha uzwa hii
 
orjoro wakijifunga linanunuliwa?
 
1.Ally Mustafa 'Barthez'
2.Juma Abdul
3.David Luhende
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Athuman Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo 'Chumvi'
9.Didier Kavumbagu
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima

Subs:
1.Yusuph Abdul
2.Shadrack Nsajigwa
3.Oscar Joshua
4.Salum Telela
5.Nurdin Bakari
6.Nizar Khalfani
7.Said Bahanuz
 
Back
Top Bottom