YANGA Vs COASTAL UNION

Niyonzima akigusa mpira basi Coastal wanaogopa...mdogo wa Nizar kapigwa chenga hadi kaanguka.
 
Mabao:
Yanga 1 - 1 Coastal
 
Dk 67
Yanga wanapata kona...inaokolewa
 
Yanga wanafanya mabadiliko...
Bahanuzi anatoka anaingia dogo mmoja sijui jina lake...
 
lewieg patrick yupo apa anaisoma yanga ili tarehe 18 shughuli ifane
 
Zamaulid mkuu.
Tatizo walijijaza imani ya ajabu kwamba wanaweza kufanya maajabu wakasahau kuwa huu ni mwaka wa mkoloni!!!
na kuna wengine bado wanaota miujiza kutokea leo!!!mi nasubiri ushuhuda!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…