Yanga Vs African Lyon live kupitia kiredio changu...

Linesmen amechangia sana kutunyima ushindi wa kishindo leo kwa kufanya move nyingi tunazokwenda nazo offsides
 
Naona Watani zetu wameanza kununua hadi marefa wanaochezesha game zetu
 

Attachments

  • Photo0133.jpg
    Photo0133.jpg
    146.7 KB · Views: 64
Pamoja na kwamba hatujacheza vizuri sana lkn ni salamu kamili kwa Watani zetu,by the way kwa mujibu wa taarifa kutoka benchi la ufundi la Yanga ni kwamba Ernie Brendts aliwaagiza wacheze hivi ili kuwapumbaza wapinzani wetu ambao walijaza mashushu leo uwanjani wakiongozwa na Kocha wao kuangalia mfumo wa Yanga
 
Nazungumzia zile offsides zisizokuwa na vichwa wala miguu zilizokuwa zinamwagwa leo.

yule linesman wa upande wa goli alilokuwa kipa wa yanga kipindi cha pili ni mapepe kweli ila lyon their not competitive sijui zile stress za tff....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom