Yanga Vs African Lyon live kupitia kiredio changu...

Hadi muda huu Yanga walipaswa wawe wana magoli si chini ya ma'2....anyway ngoja tusubiri 2nd half
 
Hawa African Lyon nao vipi, mbona wamezidiwa sana na hawa watengeneza nywele.
 
Hahahahahahaaaaaa! A.k.a warembo full mapouder
Wakiwa kwenye kambi utamsikia Mbuyu Twite anamwambia Bahanuzi, "wewe Said mitindo yako ya manywele iko bye sana, kwa nini hakunaga kuongeza marangi ili iwe bye zaidi, ona mimi iko tengeneza manywele kama ya kuku ile jogoo". ndo maana yule kocha wa vikuku alikuwa hataki kambi wanamuiga yeye wakati yeye sio mchezaji.
 
Keshokutwa mtasahau yote hayo,tuvute subira
 
Wakiwa kwenye kambi utamsikia Mbuyu Twite anamwambia Bahanuzi, "wewe Said mitindo yako ya manywele iko bye sana, kwa nini hakunaga kuongeza marangi ili iwe bye zaidi, ona mimi iko tengeneza manywele kama ya kuku ile jogoo". ndo maana yule kocha wa vikuku alikuwa hataki kambi wanamuiga yeye wakati yeye sio mchezaji.

Nadhani ulitaka kuwageza wakongo lakini umekosea, 'hawasemagi' hivyo, sorry
 
Si tunahamu ya magoli mengi hawa kina Twite wana pakapaka rangi
 
Yanga wanafanya sub Bahanuzi anaingia badala ya Hamis Kiiza
 
goli la kwanza la Yanga lilikuwa ni off side dhahiri. kwa mpira huu hatutafika kokote kule.
 
Huyu Bahanuzi asipofunga leo nam'delete kabisa katika list ya wachezaji ninaowategemea
 
Goallllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll!
 
Shughuli inaendelea,nilitaka niuache huu uzi lkn Nizar amenirudisha Yanga 2 African Lyon 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom