Yanga Vs African Lyon live kupitia kiredio changu...

Yanga Vs African Lyon live kupitia kiredio changu...

yanga mbele daima nyuma mwiko.! Tunategemea kicheko.!
 
Huyu Canavaro kama atafanya masikhara kama haya aliyoyafanya hivi punde mbele ya lile Garasa la Mnyama linalopigana kurudisha kiwango sasa hivi (Sunzu) atatubeba mgongoni,shauri yake.
 
kwa haraka haraka tu man of the match dk hizi 38 ni kipa wa lyon
 
hii shangilia ya yanga mboni hatari ndio nini kubinua mikalio yao..
 
Huyu Canavaro kama atafanya masikhara kama haya aliyoyafanya hivi punde mbele ya lile Garasa la Mnyama linalopigana kurudisha kiwango sasa hivi (Sunzu) atatubeba mgongoni,shauri yake.
Tatizo lake ni kwamba anafanya majukumu sio yake, kwa hiyo majukumu yake ya msingi hawezi kutimiza vizuri.
 
yaani beki anamuangalia nyonzima anakokota mpira au anajua ni simba wakuchora nini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom