Yanga Vs African Lyon live kupitia kiredio changu...

Yanga Vs African Lyon live kupitia kiredio changu...

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Kocha Minziro leo amefanya mabadiliko kidogo sana kutoka katika kikosi kilichoishushia dhahma JKT Ruvu kwenye mchezo ambao Yanga walianza ligi rasmi.
Kwaufupi wachezaji walioanza leo ni:-
1. Barthezi
2. Mbuyi
3. Jushua
4. Canavaro
5. Kelvin
6. Chuji
7. Msuva
8. Domayo
9.Kavumbagu
10.Kiiza
11.Niyonzima
 
Tupia basi hizo updates

Usijali mimi nitakuwa natupia zaidi matukio muhimu,cha msingi milango bado migumu lkn Yanga wanashambulia sana muda wowote watu watarudi kati
 
Shughuli imeshaanza hapo Taifa, Yanga wanaandika bao la kwanza mfungaji Nadir Haroub Canavaro
 
Usijali mimi nitakuwa natupia zaidi matukio muhimu,cha msingi milango bado migumu lkn Yanga wanashambulia sana muda wowote watu watarudi kati

Yametimia Yanga 1 African Lyon 0
 
Canavaro anajituma mzee anataka kuonesha uwezo wa kupanda na mpira
 
Msuva anatisha....heko Maftah kwa kumuepuka
 
yaani hata kukaba kazi ipo leo kama hakuna tano sijui..
 
Reserve swali lako uniulize tarehe 3 October
Tarehe tatu labda baada ya mechi ndo nitakuwa na muda wa kupost JF lakini kabla ya hapo nitakuwa busy na kushangilia timu yangu inayoongoza ligi ya Tanzania bara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom